@bbcnewsswahili: Uvumi kuhusu kifo cha kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, unaendelea kujitokeza mara kwa mara. Hivi karibuni, alionekana kwenye picha zilizochapishwa na vyombo vya habari vya serikali akiwa na binti yake, saa chache baada ya madai yasiyothibitishwa kwamba alikuwa amefariki katika hospitali mjini Beijing, China. Lakini kwa nini uvumi huu hujirudia mara kwa mara? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #foryou #fyp #viral #kimjongun #koreakaskazin

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 13:08:38 GMT
88333
4936
28
48

Music

Download

Comments

finah.love55
🫶finah@♥️ love :
kumbe ww hupo BBC
2026-10-23 13:25:54
4
user623818609561
dioly 23 :
kwann hamtoi taarifa za natatizo ya ulaya
2026-10-23 03:15:21
2
aflah441
Official Adil :
apo kuna mambo hayo ✌️
2026-10-22 15:51:06
7
lodrin01
BRAYAN :
frank mavula
2026-10-24 14:34:04
0
abdillahsule41
الجهوري 🌿😎 :
WNAMUOGOPA NDMN 😂
2026-10-22 15:59:02
2
naidakareem2
Naida D :
Hapi kuna mambo haya ✌🏾
2026-10-23 09:49:04
1
user767390061
baba Marwan :
sasa na nyinyi waandishi mushajua hili jambo sio kweli kwanini munalitangaza
2026-10-22 16:02:57
7
simple.man541
simple man 001 :
rumours
2026-10-22 15:04:26
2
yohana.laizer.lai
Crammar rle :
mhhhhh
2026-10-22 13:13:50
1
mumyb248
Firstborn wao💫❤️🤗 :
Awezi kufa anamaagano na Mungu uyo 😅😅😅
2026-10-22 13:33:20
0
trustcarental
trustcarental :
Nimeona taharifa yenu leo inayosema mtu mwenye miaka mingi zaidi duniani Ana miaka 117 ni uwongo Njooni kwetu Nyumbani nowaonyeshe babu yangu anaekadiriwa kuwa na miaka 125 na kurndelea na wapo wote yeye na Mke wake
2026-10-24 20:45:03
1
fficial.fety
👌 fety📍 :
ata akifa atakuja ata 👽 awatawale
2026-10-22 14:51:32
2
masaiword2
PaulB :
ani mtu anaepigwa miti hawezi kuwaongoza wakorea Binti yake hawezi kuwaongoza wakorea
2026-10-22 14:20:43
1
betu.jr
Betu Jr :
kwa nini apewe binti yake huyo kim ni mfalme auu naomba nieleweshwe
2026-10-22 15:14:23
0
user43811142712411
Mwalimu Ngala :
hata kama hajafa ni lazima ATAKUFA siku yake ikifika
2026-10-26 15:14:49
0
finadanielfinadan
lady fina :
ila lisemwalo lipo kama alipo linakuja 😊😊😊😊😊
2026-10-30 07:35:27
0
lebotoyo
melito saitoti 🇰🇪♥️ :
♥️♥️♥️
2026-10-22 19:49:29
1
asate.lui.mlrel
ASATE LUI MlRE :
🥰🥰🥰
2026-10-22 15:04:56
0
jamestz74
👌🏾 gang back in here👍 :
😳😳😳
2026-10-23 05:38:57
0
nakupendaafrika
NAKUPENDA AFRIKA :
❤️
2026-10-23 06:39:45
0
jamal.salah.bujra
Jamal salah bujra :
😭😭😭
2026-10-26 17:56:43
0
kakawataifa
kakawataifa💔 :
💯💯💯
2026-10-22 13:13:33
0
josephjoram239
Joseph Joram :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-22 13:47:05
0
ruhamo67
ruhamo@67 :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-24 16:10:22
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About