@zuchu_chuchu: #MVUAYABARAKA 🙌🏽🙌🏽

zuu_chuchu
zuu_chuchu
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 22 October 2026 13:16:38 GMT
364004
42531
581
454

Music

Download

Comments

stinah335
Stinah🌹😜 :
kila nikitaka kuiimba naskia Malaika wangu wananiambia tusilaumiane😂😂😂😂😂
2026-10-23 09:48:26
168
sadawasuzy
Sada wasuzzy💜💙 :
zuchu wa zaman alikuwa anaimba bhana🥺
2026-10-22 16:12:54
70
lovemontana8
lovemontana :
Hiii muifiche happy voice asioneee jamn
2026-10-22 14:17:57
90
rishamapozi4
rishamapozi :
baba nibariki na mimi nataka watoto kwanini hunipi🥺🥺
2026-10-22 16:27:56
367
husn56
Cutiepie💜🧕 :
wimbo mzuri ila kama shout sana I don't know
2026-10-23 11:15:28
0
ashnasso
Ashnasso :
Siwezi kumkufuru mungu Bado mda wakusema inatosha
2026-10-22 13:44:08
384
.mackmill
Mackmill :
huyu sikuiz sijui anaimba Nini wajameni
2026-10-22 15:59:39
122
raudha.clara
Ranny Queen Janjaro :
Look at me God mimi haijatosha 😌😌😌
2026-10-23 16:13:58
0
officialwitty25
Wittynes paul :
tumsifu yesu kristu 🙏🏿
2026-10-22 14:22:34
131
madamgrace11
MAMA G 🩵🩵 :
mbona audio mark hamna jamni
2026-10-24 11:21:32
0
suchu._baby
~suchu baby✨🦋 :
jmn no one like this girl best musician love u mamy sandrah mashallah🥰🥰🥰
2026-10-23 16:56:36
0
naynessgeorge
Baby lips💋 :
uhu msemo wa bariki wengine kwangu inatosha me mnitoe kabisa ila zuchu kasem inatosha baraka zake nipewe mimi
2026-10-22 14:28:01
84
joycebarakmtaita
mtaita_stylist :
hii siwezi kuimba kwasababu Mimi baraka bado nazitaka hazinitoshi endelea kunibariki haijatosha MUNGU
2026-10-22 13:41:59
27
user4481134661405
pk80f :
nice singing✔️🔥
2026-10-23 13:59:19
1
am20334
Limdogo ake Mpanzu ♌️ :
Hapana baba Naomba zidi kunibarik tu aisee🥺🥺🥺🥺🥺
2026-10-22 14:07:10
14
nadiasale5
its' d££h_🧸_🫶🏾 :
50/50
2026-10-22 13:18:31
5
user3347617124833
miss Juma :
sio mchoyo ndomana kaomba tubalikiwe na wengine tunaoangaika WAJA hacheni kukuza mambo
2026-10-23 09:17:26
11
cesly252
cesly🤩 :
kushukuru nayo ibada lkn mm sasa bd ata sijatosheka
2026-10-22 13:53:01
9
zenaomary385
zeee ommy :
me wakwanza leo da zuchu😍🥰
2026-10-22 13:43:43
9
mamuu.2
🤍Maryam Kahaby🤍 :
Baraka zinatoshaje😕😕
2026-10-23 04:32:51
19
keyna.la.fille.de
keyna la fille de sa maman :
Jamani Mbona zuchu haimbi tena vizuri
2026-10-22 19:21:24
21
zabby107
MRS SAEED💍❤🔐 :
inshaallah na mm ntapat t 🥺 naumia snaaa natamn nilieeeee😭
2026-10-23 05:30:56
7
blessmina19
💦bless :
mbona kama AI
2026-10-22 20:06:37
6
user2442600102359
user2442600102359 :
50/50
2026-10-22 13:41:00
0
marieh842
lastborn :
ila search bar nachoka mm🤣🤣
2026-10-24 07:19:43
1
To see more videos from user @zuchu_chuchu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About