Kutoka 20:4-5
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
2026-10-22 17:07:27
31
Lucent331 💫 :
sereously?😳
2026-10-22 18:29:11
0
maryam :
yesu kadondoka [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 18:42:16
3
■》frankln《■💪 :
Time on which ur taking a place of God in judging others ue shoulg go and Pray to God to show you what is right and wrong. point to note is that we are not worshipping statues
2026-10-22 17:35:08
0
🦋cathylove💞✨️ :
mim ni mkatoliki na daima nitabaki kuwa mkatoliki siyumbishwi na maneno kila mtu na imani yake wakatoliki wenzangu tumsifu yesu kristo 🙏
2026-10-22 17:56:25
80
Neema john :
yaani ata msemaje siamiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 najivunia kua mkatolokiiiiiiiiiiiii
2026-10-22 17:28:37
23
StitchQueen-🇹🇿🦋🪡❤️ :
Tumsifu YESU KRISTO, vijana Mapendo!🙏🏻
2026-10-22 16:23:18
17
Olliy🦋🦋🥰 :
ole wao waabuduo na kuamini sanamu
2026-10-22 16:20:44
16
crazy soldier :
Mtajuwa wenyewe hatuhamiii
2026-10-22 17:34:50
19
princess Emma 💕 :
Tumsifu Yesu kristo wapendwa 🥰🙏
2026-10-22 16:32:44
17
miss happy :
Et waachane na misalaba mtanipiga mniuwe
2026-10-22 16:28:33
17
OSCAR MIDDO :
unajua maana ya sanamu au unaongea tu Aya
sanamu ni kitu chochote ambacho mtu anakipa nafasi au kipaumbel Cha kwanza kuliko Mungu mfano pesa Yani mtu Yuko tayar siku ya kwenda kusali aiache ila akatafute pesa iyo inakua sanamu pia
2026-10-22 16:18:28
10
@p_cutee, :
kila mtu na iman yak wakrist Mapendooo
2026-10-22 18:58:16
7
Ankita Khan :
Mim ntaendelea kuwa pamoja na huyo msalaba hakuna din ya kunishawishi
2026-10-22 17:41:48
9
Mwassi Bwire :
ni wakati sasa wa kutii amri kumi za mungu
2026-10-22 17:42:27
6
mama Nove :
na mbona vyombo vya usafiri vinapata ajali kila siku na hamsemi ni ujumbe wa Mungu kuacha kuvitumia? so mtu akishika biblia au Quran vibaya ikidondoka ni ishara kwamba tusivitunie?🤔
2026-10-22 15:39:18
12
nashoni :
Mim mkatoriki najivunia
2026-10-22 19:00:11
0
yoshuaa :
Hayo ni majaribu. kanisa Catholic lazima liyapitie
2026-10-22 17:08:56
3
✨flO🥂💎 :
kuna muda unatakiwa ujielewe hizi n Imani za watu broo
2026-10-22 18:26:22
0
Claudia Msele :
Sanam gan unayoizungumzia??
2026-10-22 18:54:05
0
faith👄💞 :
msihukumu msije mkaukumiwa ninyi MATHAYO 7:1
2026-10-22 17:36:46
4
Asha mbweto :
mungu atazidi kuwaonyesha maana wamezidi kukufuru san
2026-10-22 17:50:40
2
OSELIUS OSWARD🖊 :
Mimi nafikili misalaba yote yenye sanamu ya Yesu laundi hii lazima ianguke Maana Mwokozi Yesu anakalibia kurudi kwahiyo misalaba yenye sanamu inatikisika
2026-10-22 18:57:40
1
To see more videos from user @0selius, please go to the Tikwm
homepage.