@popularmedia_tz: Mashabiki wa Zuchu, jiandaeni kupokea burudani mpya kupitia ngoma yake “Mvua Ya Baraka” inayotoka leo saa 6:00 usiku. 👑❤️ Sauti ya Diamond Platnumz pia yasikika ndani ya wimbo huo, jambo linalozidi kuongeza hamasa kwa mashabiki! 🔥🎧 JE, UNADHANI HII ITAKUWA HIT SONG? 👀💥 #zuchu_official #MvuaYaBaraka #DiamondPlatnumz #zuchu #tiktoktanzania🇹🇿
Popular Media_Tz
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 14:23:04 GMT
Music
Download
Comments
Ramalee@361 :
please tupo bize.na ep y a ibra
2026-10-22 22:27:25
10
LETY-Q International :
mtoto analia....ila mmi sijawai Pinga Simba my role model... lety-q international pale YouTube or all dsp
2026-10-23 07:09:03
1
Official Ali 97 Jaymelody 🫅🏽 :
kama Unamkubali Zuchu Gonga 🤙🏽 ya Nguvu hapo Chini 👊🏽
2026-10-23 17:47:15
2
user kurwa mpemba ❣️❣️ :
mistary ya bible hiyo
2026-10-22 19:31:49
8
backup🤘 :
mbna anakuja kutuarbia atujamlz album ya ibrah😳
2026-10-22 20:05:01
10
Josangel :
wataileta elnino hawa😂😂...
2026-10-22 22:41:17
8
Abby Mapesa 2b4 :
AI IMEHUSIKA ASILIMIA NGAPI HUMU???
2026-10-23 07:57:38
2
Mubah the brain🧠 :
AI...😀🙄
2026-10-23 10:43:32
1
🧍Freeboy DML✨ :
Bonge La Zuu Chu Chu Chu Chu 😀🔥
2026-10-23 12:13:12
1
Kiongozi :
asubir 1billion atuajaimaliza
2026-10-23 07:53:00
2
CODE AURA⚡️🌕 :
Hii nyimbo Ai pia anahusika
2026-10-23 16:03:34
1
Mohamed Huntsman :
dah wakibarikiwa wengine kwako itatoka mazima Mungu hadhikiwi Tunakupenda ila dah.
2026-10-23 09:31:03
1
telly@03 :
nzuri hiyooo
2026-10-22 21:04:32
4
dalla's :
bwana ni mwema
2026-10-22 16:53:52
4
Mariam Bamba :
Queen
2026-10-23 07:28:43
2
Francis :
usiku walini
2026-10-22 22:09:58
2
Don :
mtu unatosheka mna baraka duuh kweli noma
2026-10-23 10:55:39
1
J@yboe :
kali sana
2026-10-22 19:52:57
3
MR SOMEBODY😷 :
sio el ninyo tena 😁
2026-10-22 19:45:50
4
michewen :
hakuna msanii ibra
2026-10-23 07:12:42
1
👑ℒ𝒾𝓎_ℬ𝑜𝑒. :
A.I
2026-10-23 07:37:54
0
blanter :
Weee hatareee
2026-10-23 11:50:08
0
williamantony30 :
kwaya zinabondwa tu
2026-10-22 17:57:32
6
simbaa☠️🦁☠️ :
mbn kwahiyo mzanzibar nakwaya wapi
2026-10-23 10:32:40
2
Islam :
kwan lazma utuambie sauti ya mtufulan imesikika
2026-10-23 10:12:10
1
To see more videos from user @popularmedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.