@chiefgmedia: Hatimaye @chiefgodlove_bilionea amejiunga rasmi na familia ya matajiri duniani baada ya kununua gari yake mpya ya ndoto, Mercedes-Benz GLE Coupe BRABUS (C292) yenye rangi ya kipekee ya Solar Beam Yellow. Mercedes-Benz ndio wanaotengeneza gari kutoka kiwandani, lakini kabla ya kuuzwa kwa mastaa wakubwa, gari hupita mikononi mwa BRABUS - Moja ya makampuni machache na ya gharama zaidi duniani kutoka Ujerumani yanayobadilisha Mercedes za kawaida kuwa Wanyama ambao Wanazibonda tu Barabarani. so wao Wanaongeza nguvu ya injini, bodykit, rims za kifahari na ndani ya ngozi ya kifalme. Ukiona herufi B mbele badala ya nyota, ujue sio Benz ya kawaida, ni BRABUS. Ndiyo maana brand hii hii ndiyo inayopendwa na mastaa wakubwa duniani: Cristiano Ronaldo anamiliki Brabus G-Class (Brabus GV12) na Brabus GLE 63 S Coupe, Drake alinunua Brabus Crawler Desert Buggy ya zaidi ya Dola 700,000. Kylie Jenner alionekana mara kadhaa na Mercedes G-Class Brabus yake ya pink, Marcus Rashford alikuwa akiuza Brabus G-Wagen yake ya Milioni 400. Lil Baby anamiliki Brabus G-Wagen kama alama yake ya utajiri Na sasa @ ndiye Mtanzania wa hivi karibuni kujiunga na club hiyo hiyo, Gari hii ina thamani kubwa sokoni na ni ndoto ya kila kijana. @chiefgodlovetycoon
CHIEFGMEDIA
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 14:55:35 GMT
Music
Download
Comments
Aone Drone pilot :
gali hai onyeshwi nyuma au ndo ile benz amebadili rangi
2026-10-22 17:23:54
4
dangotemichaeltz :
wanae mkubali chief tukutane apa
2026-10-22 16:26:56
7
jackx j :
godlove kshindkn uyo
2026-10-23 03:40:26
0
Mbwana Ahmed :
chiff Godlove
2026-10-23 12:34:09
1
yese🇹🇿 :
naic
2026-10-23 18:39:40
0
Jacob Elias :
Ishallah
2026-10-23 11:32:46
1
bk4orealy :
inapendeza ndo maendeleo
2026-10-23 11:04:45
0
user1417479617291 :
Tajiri mtoto
2026-10-22 16:01:23
0
kivuruge@ :
chief kila siku unatuamsha cha ajab bado tumelala duh
2026-10-23 07:48:41
0
Danstani Mgouya :
Hiyo yenyewe@Aone
2026-10-22 17:31:59
0
Amady bakari :
watu Wana ela sio mchezo kabisa
2026-10-23 19:57:58
0
mafyre :
nd anavyo wadqngqnya uyo han ela ela atoe wap na kwa kazi gan
2026-10-24 07:47:46
0
fletips :
kabadilisha rang
2026-10-24 04:11:10
0
master_spare_part :
usingizi wa masimango siutaki 😁😁
2026-10-23 13:44:35
0
🌱🥀🌴🇧🇮🦋🦋🦋🦋🐍 :
gali zote za nini mbona nyingi sana🤣🤣
2026-10-23 07:01:06
0
isaya emmanuel :
uyujamaa anaatar
2026-10-25 18:13:55
0
To see more videos from user @chiefgmedia, please go to the Tikwm
homepage.