kwani kutafuta ni dhambi? kwani Adamu alifanya dhambi ya kutafuta? jiulize kwanza ww Adamu alifanya dhambi gani hiyo ndo alisamehewa
2026-10-22 15:21:32
16
YAASH_GOMEZ13 :
now 11:20 pm right???
2026-10-22 20:21:04
1
kuntadeplatnumz :
dhambi ambazo tunasemehewa baada ya YESU kufa msalabani ni zile kweny hamli kumi usiuwe usizini na zingine zile tunasamehewa. but akitusameh kutafuta kwa jasho na kuzaa kwa uchungu inamaana atutozaliana tena wala kutafuta kwa jasho kama walivyo ishi adam na hawa mwanzo. ila bado tunatafuta kwa jasho na kuzaa kwa uchungu coz tuzidi kuzaliana na kuijaza dunia nijibu langu ndio ilo
NB
watu wanao azisha izo mada hawaamin katika MUNGU ndioman viongoz wa din wanakwambia utakufulu. kwaiyo nakushaul usiingie kweny ilo kundi bali amin YESU ni mkomboz wa maisha yako coz bila yeye hufiki mbinguni na pia utakuwa na uwelewa mkubwa wakujua maswali kama ayo. na huu ushaur sio wa mweny post hii tu bali wote mnao soma comment hii
2026-10-23 05:56:39
4
FYADE KAMA FYADE :
hapa kuna mambo haya โ
2026-10-22 16:01:52
12
ChicharoJR98 :
Hakuna mwandamu aliesamehewa dhambi na yesu soma vizuri ila ila isipokua yesu alifanya upatanisho kat ya Mungu na mwanadamu ili kila mtu awe na uswezo wa kwenda mbele za Mungu kutubu muda wote hii ndo inaitwa rehema au Mungu pamoja nasi Mungu aliiondoa binadamu tusiishibkwa sheria kali ambazo ni ngumu mwanadamu kuziishi kipind cha torat Mungu alishush msamaha mara moja tu kwa mwaka napeneywe kuhani anaingia chumba cha patakatifu pa takatifu mara moja tu kwa mwaka ambako kunafanyika sadaka za kuteketezwa wananya wanachinjwa kwaajir hiyo na kabla ya yesu hakuna mtu wa kawaida kuongea na Mungu wala kuomba mana huskiw mpaka awepo nabii au mtu aliechaguliwa na Mungu huyo ndo anapewa maelezo na Mungu kisha anawambia watu ila leoo kila mtu anaenda mbelee za Mungu kuombaa na mana wote mnaskiwaa maombi yenu kisha mnapta neema kutoka na kusamehewa uovu wetu
2026-10-23 11:47:21
6
@alinda mwesigwa :
hii sio dhambi mpendwa ni majukumu tulipewa ila mwanzo bwana aliwapa kila kitu
2026-10-22 16:06:49
4
ishas bullet :
Nakubali swali la ufahamu kweli
lakini hapa lazima uelewe kuwa zambi ya mwanzo ni hali ya mwanzo ya kosa hivyo zambi ni kama kovu ikiwa utajikwaa amini jelaha litapona lakini lakini kovu alitafutika hila hii iko hivyo tuu
2026-10-22 19:00:43
5
dogo fanesti๐ฅท๐ฅท๐ฅท๐ฅท๐๐ค :
wakwanza
2026-10-22 14:59:26
6
salomjeuri :
kivipi....
2026-10-23 09:37:58
1
invisible man :
hahaha ๐ ๐คฃ
2026-10-23 11:45:51
1
Final Say :
๐๐๐Nakubali sana
2026-10-23 11:34:47
2
Nickson magabary :
nashindwa kuwaelewa
2026-10-23 11:58:24
1
bulabato-toyabo :
bien
2026-10-23 06:55:50
1
ALPHONCE WELDING SCHOOL :
kama kweli
2026-10-22 15:14:50
3
chapatingum H :
we ulitaka iwaje !
2026-10-22 15:43:28
2
Eliya Buya :
kweli kk
2026-10-22 18:59:32
2
Isack Sinkala :
ila joseeeeeeh
2026-10-22 17:09:26
2
mcpundit :
nashindwa kualewa
2026-10-22 20:21:11
1
To see more videos from user @kigugumizi_11, please go to the Tikwm
homepage.