dini ya kiislamu imekataa mwamke kuwa amiri mbn hamuongelei hilo heeeey
2026-10-26 11:52:18
28
Masha :
Kwanini usiumie anapouwa watu
2026-10-23 12:21:14
10
Benedictor Kilangi :
Siasa na Dini haviingiliani acha kugawa watu kwa misingi ya Udini
2026-10-23 09:42:02
26
路飞lufei :
Acha udini sisi wenyewe waislamu ..tunataka viongozi bora na wajibikaji..
2026-10-30 10:25:40
6
Sr mary dismas :
acha umbea baba haki ni haki
2026-10-29 19:54:28
1
Bai :
Kwaiyo akikosea tumuache.
2026-10-30 07:46:00
4
urio :
𝑛𝑗𝑎𝑎𝑎 𝑖𝑧𝑜𝑜𝑜
2026-10-29 18:13:46
0
Prince16 :
uislamu ndio dini gani?
2026-10-31 02:46:59
2
issally :
makanisa miskiti hainafaida yoyote kwajamii
2026-10-30 11:52:38
2
kwegemo :
mh et nipotayri kwakujitoa sadaka kwaaji ya nchi yangu mh angekua magufuli saw hata mimi ningejitoa sadaka ila sio kwauyo mama chakwanza me nasema sina kiongozi wanchi kiongozi wangu ni mungu tu baaaaaaaaas
2026-10-23 11:26:08
2
Beatrice :
kwani kanisa la Gwajima kulikuwa kuna vurugu gani
2026-10-30 11:51:45
3
Fkr joji :
kuna njia nyingi za kutafuta ugar
2026-10-24 03:34:41
2
Paulo Kimweri :
shekhe ukileta udini ni hatari
2026-10-23 04:14:47
5
vailetpetro :
siot waisilam ata sisi wakirisi tuna umia kwasababu mimi naamini kila mamlaka iriyo madalakani m mungu kaiweka sasa inakuwaje ana pigwa vita ni mungu
2026-10-30 08:21:46
1
ramadhanimussa2589 :
mo 29
2026-10-23 06:28:07
5
Ramso :
hakika ata mimi nipo tayar kua sadaka kwa nchi yang
2026-10-23 19:33:33
2
peterkilima :
acha siasa hubiri maneno ya Allah
2026-10-23 17:22:14
9
danilo mp :
Uislamu unaruhusu mwanamke awe kiongozi
2026-10-23 18:16:42
2
jeremia peter :
free tundu risu
2026-10-23 18:14:57
3
Seif Kabote :
achana na siasa bro
2026-10-30 18:08:21
2
Januar :
elimu madarasa imeshindwa kutenganisha nchi na dini
2026-10-29 10:29:44
3
Swaumu Juma :
waislam na wakristo sote ni ndug
2026-10-25 16:20:39
3
Muhd Abdalla :
kabisa
2026-10-24 03:46:40
1
To see more videos from user @dr.sulleiman4, please go to the Tikwm
homepage.