@aviationtanzania: Fokker F28-3000 (5H-CCM) ni miongoni mwa ndege zilizobeba historia ya uongozi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fahamu uwezo na sifa za kiufundi za ndege hii ambayo imehifadhiwa katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. #fokkerf28 #presidentialaircraft #aviationhistory #aviationtanzaniaupdates #makumbusho
aviationtanzania
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:04:09 GMT
Music
Download
Comments
Amos Magige :
ndege imesitafu kuna mtu amegoma kustafu shikamo mzee wasira👍
2026-10-22 17:14:47
42
AZYZ ALLY :
imefikishwaje hapo makumbusho
2026-10-22 17:25:07
5
GEAR.HEAD :
Airforce one ya tanzania hyo [Tears of joy]
2026-10-22 16:58:42
0
izzy_tallyno :
Kwa nini CHALI CHALI MIKE, c use me TU CCM ielewekeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnazungukaaaaah akat inaeleweka ni CCM
2026-10-22 18:19:20
5
194_cactus :
Kwan lazima mtaje izo code😡
2026-10-22 15:49:36
3
Sauti Ya Kifalme :
km 1668 tu?
2026-10-22 16:49:34
3
MAGESA TRUCK 🚛 :
kwann isiuzwe
2026-10-22 17:34:56
2
ericzine majeje :
IPO Makumbusho ya Posta au Makumbusho ya Morocco nkaitembelee mie
2026-10-22 16:51:32
3
Number six :
Yani CCM wanapenda kujiamulia mambo adi ndege tunazo nunua kwa kodi zetu wao wana jimilikisha nakuweka chatazao za CCM 😁😁😁😁
2026-10-22 18:02:18
1
unquenchable709 :
Ndege imestaafu 😂
2026-10-22 16:31:04
2
J :
Mtangazaji nimekupenda kama hutojali nidm
2026-10-22 16:53:25
2
Hasheem_saleh7 :
Naona AC ya baridi baridi humo ndani😂
2026-10-22 16:58:32
2
Ahmed daddy :
na kama inafanya kaz kwann isipelekwe airpoort ikapige kazi??
2026-10-22 18:21:35
0
Tasac Latra :
Mbona 5H-CCM Et?
2026-10-22 16:48:02
3
SN DREAMS :
ifunkwe basi kwa paa ili rangi isichoke
2026-10-22 17:01:07
2
Ally Rocky🇹🇿 :
Hii ndo ilee ndege ninayoiyona pale makumbusho ya EFM au
2026-10-22 18:11:35
0
salum classic. :
ndege ya saiv inaitwaje
2026-10-22 15:52:48
2
Barageti_10🇹🇿 :
kwel nakumbuka ilikuwa ikishuka musoma pale Baba Anasema foka iyoo
2026-10-22 17:54:48
1
official.bm026 :
ilipelekwa vp apooo
2026-10-22 17:02:49
1
Mr.Ngowi255traveller🛣️🚥 :
kumbe inasiti nzuri ivi nilikua naiona imechoka
2026-10-22 17:44:34
1
meda :
inakuje ndege 5-H CHALI CHALI MIKE imestafu kazi zake inakuaje bado huko maofisini kuna wazee hawataki kustafu kutupisha vijana kwenye ajira
2026-10-22 20:48:56
0
reallife057 :
Ko apo imeletwa vp
2026-10-22 20:18:56
0
Isack Kiwele :
5H-CCM😂 WOW
2026-10-22 19:20:13
0
Top 5 :
Naam thats a GEM
2026-10-22 19:16:37
0
Richard Reynolds :
5H-CCM Ungesema mbona sisi ni waelewa tu😂
2026-10-22 20:47:27
0
To see more videos from user @aviationtanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.