@yesoniak.b:

Yesonia K.B
Yesonia K.B
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:04:26 GMT
27206
1082
37
105

Music

Download

Comments

lydiacakes5
Lydia cakes :
hayo ndo nimeyapitia mimi mume nilie kuwa nikimuombea na kumuamini ndo amekuja kuniacha kwa maumivu makali sana. Mh ila nashukuru Mungu sasa ninapata amani na maumivu yanapungua
2026-11-01 15:04:06
4
user8853022229768
nurulight :
hakika and that is the way we live in this world. Sometimes your may believe someone and give to him or her your heart and life but after some days you may be disappointed with him or her
2026-10-22 18:44:28
4
galaxylady69
galaxylady :
Yule niliyemtolea sadaka na kumkabidh madhabahuni🥹🥹🥹Yoooo👐Mungu nitabaki na wewe tu🙏🏽
2026-11-11 23:06:34
1
mamylight3
user384990 :
Wamama wanaumia saaana Mungu atuponye
2026-11-15 22:43:15
1
rain.bless2
Rain Bless :
Una Maneno ya hekima Sana
2026-11-11 18:21:07
1
user7550820901022
user7550820901022beth :
MUNGU atusaidie tujue kile kilicho ndani yetu kunawakati tunapita kwenye wakati mgumu ila tusikatwe tamaa yupo anae tufuta machozi yupo anae tupa nguvu ya kushunda Ambaye ni YESU KRISTO pia Kila kinacho kuja kwako sichako ila MUNGU analuhusu upite ili usimame imala🙏
2026-11-15 20:33:20
1
benseleman2
Ben Rayden wong :
ila 😭acha nimshukur Mungu kwa hapa nlipi sasa maan nliyo pitia sitaman kukumbuka 😭
2026-11-14 14:59:44
1
ummymaimuna
YFM :
🥺alhamdulilah
2026-11-13 14:36:55
1
gee_jack1
Gee🥰❤️ :
moyo una maumiv 🥺😭
2026-11-14 08:57:15
1
maryam.shamna
Maryam Shamna :
Seven years halafu kanigeuka ghafla Mungu asikie kuomba kwangu yani natamani ateseke kuliko nilivyoteseka mimi
2026-11-14 06:23:22
1
madame.boss276
Madame Boss🌹 :
ooh Yesu nifanye nisahau hayo😭
2026-11-14 13:33:57
1
nyambongo3
Casablanca :
Mimi nimejifunza tupunguze kujitoa kwa watu haswa wakiwa na shida wao mwache ahangaishe ubongo wake .tunajitoa sana kwa watu later wanatuuumiza
2026-11-08 13:25:07
2
dearme032
Areli's Mom :
maumivu yangu yaliongezeka zaidi nilipogundua licha ya kuniumiza sana sana bado sina cha kumfanya akalipia hata nusu ya uchungu alionipitisha kwa mikono yangu. Nimemuachia MUNGU amuadhibu kwa majira yake.
2026-11-05 17:51:16
2
bintpaschal
Theresa bint paschal mwashi :
mungu kama kunamahali nakosea kuomba basi nilekebishe 🙏🏿
2026-11-12 12:02:49
1
eva_sanga61
eva_sanga61 :
Kabisa
2026-11-11 19:57:12
1
husnaelnest
Husna :
Kama Kuna hospital inafanya huduma ya memory losses nahitaji, Miaka Saba ya kumpenda mtu kumjali kumuombea kusimama nae aah Mungu unaona
2026-11-14 23:11:26
1
happyjoseph30
happyjoseph30 :
Mmm
2026-11-05 02:51:29
1
shaniswalehe24
sarawenslaus :
kabisa
2026-11-08 20:16:06
1
nuru.mkumba3
Nuru Mkumba :
kabisa wanao kuumiza watu unaowapenda na kuwajali
2026-11-12 15:07:13
1
mom.g52
itz_. dat.gal :
😭😭💔💔🙌🙌🙌yule kaka🥲🥲🥲
2026-11-11 22:49:36
1
user4117868467101
user4117868467101 :
nina maumivu mikali ndani ya moyo ila namwachia Mungu wangu ndo tegemeo langu.
2026-11-10 04:22:01
1
misssoso16
Soso 🫂❤️ :
Pole kaka sema na mungu usiseme na wanadamu sis watu sio wazuri
2026-11-05 20:51:25
1
misskipingu
Miss kipingu❤️🦋 :
Kabisaa
2026-10-25 18:51:50
1
mshiya43
Daus🦋❤️ :
Na hio ndio dunia ipo kwaajil ya kutufundisha
2026-10-28 23:48:58
1
zakariasamsoni0
zakaria Samsoni kmc :
nahitaji canselling
2026-11-16 16:55:41
0
To see more videos from user @yesoniak.b, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About