@iycsigntv: Tukio la kushangaza limeripotiwa nchini Hispania baada ya mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na ndevu zinazofanana na za mtu mzim. Watu wamepagawa baada ya kuona muonekano wa mtoto huyo hospitali Muusika: toto 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
iycsigntv
Region: US
Thursday 22 October 2026 15:06:17 GMT
Music
Download
Comments
cute melissa :
mbona ana angalia kwa dharau ivyo
2026-10-22 15:45:07
258
@cute :
hela za wazee haziendi bure sasa hivi mambo kwa ushahidi[Innocent]
2026-10-22 16:17:15
342
e.movie :
wazee wamerudi kimyakimya sasa wamechoka kujificha
2026-10-22 15:14:53
376
salma :
eee mungu wangu wangu bariki mtoto wangu aliye tumboni
2026-10-22 17:26:56
46
datty🌸🌺 :
si mnaona Dunia ishafika mwisho me napuliza bhn
2026-10-22 16:30:13
125
@Eric :
that's Benjamin
2026-10-22 18:10:41
0
##OFFICAL" MAYERE## :
this is my baby🤣🤣
2026-10-22 17:28:06
73
estery kidot :
mwambien niko single
2026-10-22 19:15:33
0
suuh_tz❤️ :
nnamimba Ina miez nane naitaji Dua zenu jamn🤗🤗🤗
2026-10-22 17:41:28
14
Nia Ngaile20❤️ :
kazuri kenyawe[Heartwarming]
2026-10-22 19:12:03
0
mwasit 💞💞💞 cute :
hakapangeeee[Tears of joy]
2026-10-22 17:30:39
8
vailethmdemu :
pol san
2026-10-22 19:29:01
0
😭😭😭 :
hormonal imbalance
2026-10-22 19:07:15
0
🪖CHAS£R💭🦅 :
Apo kanasubir kuoa tu mashallah alaf kuna mm ambaye nina miaka 28 alaf ndevu zinaota moja moja kama vinyweleo🥲😁
2026-10-22 17:11:00
8
🦋dyah🦋 :
tumuite baba[Innocent]
2026-10-22 17:47:56
0
Mayachris12 :
Huyu namjua nilimaliza nae la saba 1977😳
2026-10-22 17:45:52
15
Jacline Kiria :
Mungu kaleta sahani yake uwezijua Mungu kakuandikia nini maan yatupsa kushukuru kwakila jambo
2026-10-22 16:56:30
11
neylahsway 🌤️🌪️ :
naomba kuuliza kaamua kubalehe tokea akiwa tumboni au
2026-10-22 15:44:28
43
nyugutz :
mi nahisi Kuna namna duambia kahusika hapo
2026-10-22 15:41:40
33
Ethel :
Hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-22 16:05:46
22
R@y-z 🇹🇿 :
hiyo najua n Njombe
2026-10-22 15:42:20
18
_yes_irene🌺 :
kwani baba ake anasemaje
2026-10-22 16:33:04
5
Mr Brand Tz :
God blesse🙏🙏🙏
2026-10-22 15:56:11
5
Miss Scola💖 :
comment za watu ndio zimefanya nimecheka😂😂😂
2026-10-22 19:16:38
2
hamisi kipamba :
je kazaliwa akiwa na miaka mingapi?
2026-10-22 19:05:07
1
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.