@nivohlyrics: part 1127 hi ni mvua ya baraka @officialzuchu #nivoh_lyrics #lyricsnivoh #lyricsvideo

Nivoh lyrics 💦
Nivoh lyrics 💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:06:39 GMT
175208
10612
321
166

Music

Download

Comments

nana.juice1
NANA juice :
mda so mlefu watu watajilekodi kuwa nao baraka zinatosha😁😁😁😁
2026-10-22 17:48:09
144
user9922065819036
sophi :
nashindwa kupost naona kama niramkufuru mungu
2026-10-23 06:10:21
41
angiemu7
Angie💕 :
l love her songs though l don't understand.. English please
2026-10-24 11:36:58
1
v.kidoti8
V kidoti🌺🌺 :
bonge la zuchu[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-22 15:57:01
1
patricia.johni
tiffah cute❤️❤️ :
Kila nikitak kujirekod na uu wimbo nakumbuka. mi bado sana kuimba uu wimbo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-22 19:31:52
56
maggy.maggy216
Maggy Maggy :
the first person kusema ametosheka na baraka 🤣 a very genuine person 🤣🤣🤣
2026-10-24 09:54:00
0
ms_rachel27
Ms_ Arora ♥️ :
Don’t judge the book please 🙏 anachomaanishaaa nitofauti na nieee hii wimbooo ukichukuwaaa title ya wimbo katafuteee maana by the way maana yake ndo hiii “ “Mungu wangu, umenitendea mengi. Nimeona wema wako katika maisha yangu. Sasa naomba uwakumbuke na wengine pia 📌”
2026-10-22 22:45:25
20
starzomeve2
Staż😋dom :
Hiii nyimbo itanipita tu jaman
2026-10-23 04:53:54
21
aqrammaulidi
baby mom💔 :
mm hata hii nyimbo kuipiga kwa sabufa naona aibu maana ntasema baraka imetosha huku nadaiwa kodi aibu naona mm 😂
2026-10-23 11:22:43
9
cutecarolina1
carroline :
huu wimbo mzuri lakn
2026-10-23 10:55:47
9
fatrey_baby
fatrey_🥰🙈 :
iyo mvua ikikata kw zuchu ije tu kwangu 🥺
2026-10-23 09:46:33
10
sheki_38
sheki :
baba na mm naomb iyo mvua ya barak japo kuwa nakushukuru kwa yote baba
2026-10-22 20:04:28
13
user3843406857
Safia :
Wimbo mnzuri
2026-10-23 22:36:04
1
mimy.paul
Mama Nilly :
Ila Zuchu kabla cjamalza kukall verse inatok mpya
2026-10-22 17:48:21
5
user5324031869617
gracious :
mungu nibariki
2026-10-24 11:52:18
3
cute.7701
𝐙𝐞𝐲𝐧𝐞𝐫 🦋 :
kama sio mvua ya elmino 😂😂😂
2026-10-23 06:17:09
5
user7146977462770
Zurufa mainge :
Masha allah
2026-10-24 15:03:03
1
princessamaramari
Princess Amara marioo :
amazing 🤩🤩😍
2026-10-22 18:08:34
7
user4942142356969
Rahma :
I'm
2026-10-24 06:51:30
1
beiby.wa.meru
beiby wa meru :
mgejua vile zuchu amengangania,but Mungu pia Mimi nibariki 🙏
2026-10-24 13:52:41
1
user10069223563412
fmaka :
Ni bariki kuliko Zuchu nifaidi Dunia
2026-10-24 14:57:58
1
its_fefe2001
fefe_nely🧸🎀✨️ :
watanzania kila kitu wanapokeaga negative way tuu🤣
2026-10-23 18:29:05
1
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
Jamn zuchu anatulazimisha tuhangaike na location kwa barak za kukopa 🤣🤣☺️☺️
2026-10-23 17:42:35
0
aliceka444
AliceTal6868 :
Sasa nani amuambiye Mungu inat0sha?
2026-10-24 06:01:26
2
To see more videos from user @nivohlyrics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About