@starmusicmedia: Machafuko makubwa ya mvua zenye upepo mkali zaikumba MTO wa MBU #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp

STAR MUSIC MEDIA
STAR MUSIC MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:13:18 GMT
262938
8688
552
964

Music

Download

Comments

yohanasalumu528
Yohana Salumu :
mtajege na mikoa sasa sisi unatuambia mto wa mbu tunaujulia wapi
2026-10-22 22:12:25
138
saida.msuya1
🥰Saida msuya🥰 :
yeton jmn jmn tusome 😂😂😂
2026-10-23 05:57:17
5
akilimingi.vevo.t
akilimingi vevo tz :
uwongo huo jua kali sana mto wa mbuu arusha
2026-10-23 08:39:02
49
happypeter04
happypeter190 :
watu wa mto wa mmbu tunaomba uhakika wa hili.....🤔
2026-10-23 13:07:56
14
hamida.kibambe
Hamida Kibambe :
sio kweli mto wa mbu napajua
2026-10-23 18:31:16
3
david.allan367
David Allan :
tunataka El Nino yetu nchi nzima
2026-10-23 06:56:53
13
shuuudelove
Shuuudelove :
uku dar kuna jua kali na joto kali sana
2026-10-23 03:16:24
21
ma.mpenzii8
ma mpenzii🥰 :
mbona Arusha inachelewa sasa
2026-10-22 22:10:59
15
esthermathay2
user7198588461726 :
mto wa mbu iko mkoa wa arusha
2026-10-23 04:55:23
12
nashmollel202
nash beauty 😍 :
wako wapi wale waliokua wanaomba Elnino ije🤣🤣
2026-10-23 04:52:07
9
starbeautysaloon2
Star Beauty saloon :
ila Tanzania imezid uhuru kuna mtu kasema tunataka elinino yetu nchi nzima, wakat ss huku tunaomba Mungu atupe mvua za kiasi cz tunajua kitakachotukuta wa2 wa eneo hili
2026-10-23 07:16:59
10
haruna.nelson66
Messotz :
sio kweli mbona jua linawaka arusha
2026-10-23 21:07:33
0
apple_centretz
Apple centre Tz :
Mto wa mbu ndo wap ????
2026-10-23 16:57:58
0
muhunzi90
muhunzi :
mkoa gan hiyo
2026-10-23 16:22:05
0
singida366
singida :
mmmmmmh
2026-10-23 13:20:55
0
user427547596203
@Jelady paloko :
mto mbu wazee tulioshia lasaba kama mbosso mnaujua huu
2026-10-23 16:34:26
0
royal.girl350
royal girl 🤪💃💃 :
tumechoka vitisho acha vitokee
2026-10-23 09:18:29
0
manjiri751
Manjiri :
Mungu mlinzi wetu .hakika ulinzi wake u juu yetu tukiomba kila wakati kila dakika .
2026-10-23 04:32:06
9
alhajiabdalah
Alhaji :
acha umbea uo ni upepo ulio ambatana na mbvua na nikawaida kwa khal kama iyo maeneo hayo
2026-10-22 21:56:02
6
user83635419733475
cute love💓💓💓 :
mm na taka hy mvua ile sahv
2026-10-23 13:57:18
0
jully2149
Jully :
si hatutaki kimbunga si tunataka El nino
2026-10-23 15:10:00
3
kelvin.john757
Kelvin John :
wapi huko jamani
2026-10-22 21:47:46
2
itsnayome1
It’s nayome🦋 :
Jmn si wamesema El Niño ni joto tuu 😂😂😂 bs hii ni mvua ya upepo😁😁
2026-10-22 22:37:00
3
boilerphonetz
saed boiler :
mto wa mbu na elnino ndio wapi jamaa
2026-10-23 08:24:29
0
japhetymaiko
Japhety Maiko :
mtoa wambu ni Arusha kwambao hamjui
2026-10-23 19:46:35
1
To see more videos from user @starmusicmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About