@pastormasterkey: KILA UTAKACHOOMBA KITAKUBALIWA ,KILA UTAKACHOKIHITAJI HAKUNA ATAKAEKUKATALIA UKIFANYA CODE HII KWA IMANI👇 Inaweza kuonekana ni jambo rahisi, au huenda usiamini katika nguvu za vitu vya asili. Lakini watu wanaotumia mchanganyiko huu wanadai kuwa maisha yao yamebadilika. Kama unatafuta kazi, unakwenda kusaini mkataba, uunaomba visa, unafanya biashara, unajishughulisha na ujasiriamali,au unaenda kufanya mtihani, code hii ITAKUSAIDIA sanaa Pia ni mzuri katika masuala ya mahusiano, michezo ya kubahatisha na kubashiri. Vitu unavyohitaji: * Vaselini * Mdalasini kiasi kidogo Namna ya kutumia. Chukua vaselini na kiasi kidogo cha unga wa mdalasini, kisha changanya vizuri huku ukitamka matamanio yako. Paka mchanganyiko huo mwilini mwako, kisha endelea na shughuli zako.

MASTER KEY 🔑
MASTER KEY 🔑
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:14:21 GMT
1590
40
3
2

Music

Download

Comments

shombe.jr7
LION 🦁 ZANZIBAR 💫💫💫💥💥 :
unapaka kwa mda gani
2026-10-25 07:08:53
0
royalsoul015
Mystic Vibe🦋 :
Ntareta mlejesho
2026-10-22 16:12:36
1
cleus.capitalist
Cleus Capitalist :
🫡
2026-10-23 12:32:48
0
To see more videos from user @pastormasterkey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About