@africatv.2: HUKUMU YA MWANAUME ANAESWALI NYUMBANI#MUISLAM #MWANAUME #SWALA

Africa TV2 Swahili
Africa TV2 Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 07:00:00 GMT
7284
399
14
30

Music

Download

Comments

mjlarchitects
MJL :
kweli... Allah atuongoze tu
2026-10-26 12:43:13
0
salmini.khamisi.r
🇹🇿🇮🇶🌻 msingida 🌻🌻 :
Msiifanye dini kuwa ngumu hakuna wajibu wa mtu kwenda kuswali msikitini swala ni popote
2026-10-26 11:15:12
0
fadhilunaahmed
Doctor love ❤️ :
je ukiswali jamaa na mke wako nyumbani iyo yaruhusiwa??
2026-10-26 10:35:53
0
user8712276129678
cheyo1572 :
mahala nnapo ishi na msikiti ulipo Kuna umbali kidogo pia mahala ninapo ishi ndo kazi zangu za kimaisha Zina fanyika niseme niende masjid na nirudi almost dk 40 swala zangu zote nazimaliza eneo langu la kazi isipo kuwa aljumaa na kwa uchache al fajir kwa nn alifajir naswali nyumbani kwanza nikianza fikili uo umbali pili mfano nimeamka saa 11:15 mpaka nijiandae nifike msikitini muda unasogea naogopea nisije swali subuhi badala ya al fajir iliyo elekezwa kwa sababu jua Sasa hivi nafikili lipo kwenye ukanda wa equinox kwa hiyo mchana uwa mrefu (mapambauko) kuliko usiku(gizani) mfano ukitoka Sasa hivi 11:30 al fajir kwa mda wa nyakati zilizopita ni alifajir ila Sasa 11:30 ni subuhi yani kweupe je hukumu yangu ni ipi hapo
2026-10-26 08:11:05
0
kondeboy2601
K🅾️NDE_🅱️🅾️Y-2️⃣6️⃣👮 :
sheikh tueleweshe vizuri kwasababu uislamu unasema unaweza kuswali popote je kama niko mbali na msikiti nafanayaje
2026-10-26 12:06:11
0
hud_hud88
One dream Autospare parts :
mngefafanua umbali wa msikitini ambao umeruhusiwa
2026-10-26 11:29:43
0
athumanihamisisoa
Ochu Soa*# :
kwahiyo swala ya nyumban bila udhuru yeyote kwa mwanamme haiswihi?
2026-10-26 08:08:20
0
scarfaceman04
scarface🦁🦁 :
lakin Wengne tunaisha maeneo miskiti ipo mbali inakuaje hapo
2026-10-26 10:21:00
0
user90805229619520
Samsung :
Mashallah
2026-10-26 10:25:46
0
jumamjuma781
جمعة ابن متموا :
kwaio bora asiswali? aache kuswali kabisa kuliko kuswali nyumban😆
2026-10-26 12:22:14
1
doubleaafarm
abdul mussa :
Watoa elimu wa sasa awooo awafafanui kwa kina wanatoa fataha kwa uelewa mdogo😳
2026-10-26 12:11:00
0
dinhaji
dinhaji_43 :
👌
2026-10-26 07:25:59
0
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About