Ni kwasabab ni V8 IKO JUU ila ingekuwa Crowm hapo Mambo yangekuwa haya✌️
2026-10-22 18:25:13
25
ordinaryman… :
ukiangalia vizuri utagundua jamaa alikua anakwepa watoto waliokuwa wanavuka barabara
2026-10-22 21:37:50
15
Pop Caesar :
Insurance company
2026-10-23 16:03:37
3
dalali_surubo_dodoma :
EUR gari haina hata mwez dadadek 350+m mtu kazitupa 🤦🏾♂️
2026-10-23 10:21:44
3
lifemaisha :
dereva wa cruiser wanadhani popote wanapita...
2026-10-22 20:38:33
4
公爵公爵 :
shida ni kwamba maendeleo ya vifaa vya kutembelea yapo mbele kuzidi miundo mbinu yetu!!
nchi zilipotoka hizi wanauwezo wakutemba kwa speed kibwa nawasigundue kwamba wapo kwenye speed kubwa!!
NB: Tujaribu kuishi sawasawa na miundo mbinu yetu speed za mitindo hii azitufai sisi wa nchi ya 3 hata kama chuma ina ruhusu!!
2026-10-22 21:55:44
5
user1882552709820 :
watot watatu wamekost mamilion
2026-10-23 16:54:59
1
Dr.Kashato :
Shida kubwa Madereva wa Hizi Gari Wenyewe Hawajui Hapa ni Mjini au Njee ya Mda Wapo Speed Kama Ngiri Mkia Juu, Upo Katikati ya Mji kuna Watoto wanavuka , Vipofu, Walemavu, Speed kubwa mda Ndii Chanzo cha Matatizo kama Haya
2026-10-23 03:59:23
2
kidokido808 :
Mwanetu alijuwa mkwaju sio poa
2026-10-22 20:32:11
2
DaNfOrD💎 :
alikuwa anakimbilia wap sasa
au kisa ni lc300
2026-10-23 05:23:44
1
Socond born :
sasa jamaa alikua anaenda wapi huko😜😜😜
2026-10-22 21:30:48
1
kusinu bike :
chuma n GR sport 🔥
2026-10-23 01:41:55
2
نعمان❣️👑 :
Boss Fungua WhatsApp
2026-10-23 12:10:37
1
Joseph Webilo :
huo ndo uzuri wa gari za hela
2026-10-22 19:34:18
3
Jodoh Don Dom Twn :
chuma imara bado ila haikuwa ata na wki 3 🥺🥺😬😬😬 daaahh
2026-10-24 17:43:13
0
Mercedes-Benz Ujerumani :
hio inaitwa lc400
2026-10-23 05:16:39
1
Rednecar jr :
Mungu mwema
2026-10-22 22:18:30
0
kevoo :
Sahihi watoto
2026-10-23 13:03:43
1
Waziri Junior :
Sababu ni gari ipo juu ndo maana wamepona crwon apo tusha wasahau
2026-10-23 09:42:06
0
Kingsman. :
alikua anawahi wapi🤣
2026-10-23 10:49:39
0
ERICK 🇹🇿 :
iyo ndio lc 300
2026-10-23 18:34:39
0
user832462874826 :
thiliihandredi
2026-10-23 11:36:17
0
Nick,Nicks :
we umejuaj
2026-10-23 14:30:09
0
Version :
milion mia ngap ?
2026-10-24 19:45:07
0
Moyo_Mzuri_Car_Dealer's 🚘 :
Lc300 inapaa hatar asee...Duuh!🤔
2026-10-22 22:39:53
1
To see more videos from user @matukiodaima27, please go to the Tikwm
homepage.