@mikachavala: 💭 I’m not against politics; I’m against the way it is being practiced. I believe there is a better way to do politics—one that prioritizes people, ideas, integrity, and meaningful change over division and personal interests. Politics should be a tool for serving people, not a means of dividing them. As I explain in the video, we need to rethink how politics is done, not abandon politics itself. ——— Mimi sipingi siasa; ninachopinga ni namna zinavyofanyika. Ninaamini kuna namna bora zaidi ya kufanya siasa—siasa zinazoweka mbele maslahi ya wananchi, mawazo yenye tija, uadilifu na mabadiliko yenye maana badala ya migawanyiko na maslahi binafsi. Siasa zinapaswa kuwa chombo cha kuwatumikia wananchi, si njia ya kuwagawa. Kama nilivyoeleza kwenye video, tunachohitaji ni kubadilisha namna tunavyofanya siasa, si kuzikataa siasa zenyewe.
Mika Chavala
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 15:43:44 GMT
Music
Download
Comments
Wellness_zainab :
napataje kitabu kaka
2026-11-02 18:08:45
0
fedy_icon :
io Minaki ilikua 2016!? if am not mistaken
2026-10-31 23:43:00
0
Jack dallaz 32 :
Big point bro unaweza ukaijua siasa na uongozi bora na usiwe muumin wa chama chochote
2026-10-22 22:38:51
6
molongwe majile :
ni kweli kak ukiwa CCM unakuwa enemy wa taifa, sio chadema TU
2026-10-22 21:19:24
4
alexanlydia :
anapenda maswali tokea tupo shule
2026-10-23 19:20:26
3
Riziki Mtui :
Umegusa ninapohitaji
2026-10-23 12:43:07
2
Jaha :
Mika chavala tambua kuna tofauti kubwa sana ya uongozi wa advance kushuka chini ila kwanzia chuo kupanda demokrasia ni 0%
2026-10-22 20:07:36
1
Mtoro Mwinyi :
shida kubwa wananchi watanzania hawachambui hoja wenyewe wanaenda na upepo Sasa unawezakua na hoja nzuri lkn akatokea mtu na uongo akautengeneza vizuri akaonekana ndio anahoja
2026-11-06 08:32:54
0
Tuku abeli :
huo sio uchaguzi
2026-10-23 00:18:19
1
Godlove in Wheels :
Nyakati hubadilika na kuibua vipaumbele vipya. MwanaFA pia aliwahi kusema hawezi kuingia kwenye siasa.
2026-10-30 05:07:40
1
EazyDady :
Naamini katika hili pia ,hakuna ulazima wa mtu Fulani kuwa ndio mambo yaende ila mtu yeyote katika waliobadilishwa fikra anaweza🙌🙌🙌
2026-10-25 21:04:59
0
Mnyaru mwaliganga(selijo) :
Nyaluland we proud of you
Mungu azidi kukupa hekima
2026-11-01 02:47:04
0
shedrackmagulu :
nipo dar es salam nawezanje kupata hicho kitabu (kswh)
2026-10-23 07:46:34
0
Eva pop 🌍☀️ :
Great
2026-10-22 19:42:26
1
uwineza Amina :
wow😍
2026-10-22 19:30:58
1
MANYZO :
Nakubali kaka umenyooka
2026-10-23 05:54:18
0
muhangilajunior01 :
Big brain 🧠
2026-10-23 16:24:42
0
BmG.. :
2026-10-22 18:22:21
1
#Trust Tours & Safaris Tanzani :
I like this girl, she is smart 🎓
2026-11-08 02:37:13
0
Paul :
huyu kijana hayupo ktk reality, hata hana msaada wowote kwa matanzania! ni kama akina Nkumbi tu, hawawezi kujionyesha froant kuoambania haki!
2026-10-23 21:13:33
1
My Life Still My Life :
Shida nyingine ni kizazi au vijana wa sasa shule ndogo na poor planning wengi wapo kimihemko na wanasubilia watu Fulani ndio waongee kwa niaba yao hawajui political legitimacy na legal legitimacy hata critical thinking and urgurmentation ya vijana wa Leo ni kidogo sana tumekaa tunaamini watu walio shindwa ndio wakae mbele yetu na waongee shida zetu huku wao nao wanashida zao. Vijana tuamke tuwe mstali wa mbele, dira mpya, mipango mipya, sera mpya na nguvu Moja. ila uchawa, ushoga, usagaji, madawa ya kulevya, wizi na mihemuko ndio shida ya vijana
2026-10-23 10:34:59
3
SP :
uko sahihi mno.
Kama kuna mtu au kikundi kingependa kuisaidia Tz ni kuvunja u vyama na kurejesha u tanzania. Hapa ni kuiua ccm na kufuta vyama vyote. kuruhusu mawazo huru ikiwemo mgombea huru. kuwa na sera za kitaifa zisizotegemea aina ya chama, kujitoa kwenye cage ya globalists, kuitafsir demokrasia in Tz/african context. kuotesha uzalendo, kupiyia mitaala na taasisi zenye haki na uwajibikaji. Kwa tulpo sasa tutatoana ngeu sana.
2026-10-23 21:42:38
0
Seni :
Mika nimeku DM hujibu kabisa
2026-10-23 10:41:13
0
Sheila 1999 :
Akili mingi
2026-10-22 19:42:52
1
Form 6 Asie Soma📚 :
Tanzania ndo nchi pekee ukitoa point unakuwa adui.. ila wakiskia wema sepetu mbwa wake amepotea media zote inakuwa ndo story. mental slavery.
2026-10-27 08:49:08
0
To see more videos from user @mikachavala, please go to the Tikwm
homepage.