@king_yapsud: baba bariki wengine sasa kwangu inatosha . zuchu mvua ya baraka #foryoupage #fyp #king_yapsud #yapsud_001 #kingyapsud

@king_yapsud
@king_yapsud
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 22 October 2026 15:50:55 GMT
239367
23731
616
404

Music

Download

Comments

fatmajumanne557
Fatma Rashid :
Bora nyie mlio balikiwa mpaka mnasema inatosha😂😂😂😂
2026-10-22 16:42:42
269
nana.juice1
NANA juice :
tumefika hatua ya kumpagia Baba
2026-10-22 17:26:23
182
shr01520013dtv00
SHIRA TZ :
huu wimbo ukitaka kuimba roho inakusuta sijui kwa nini🤭😂😂
2026-10-22 21:00:09
261
sabrin59698
Sabrin@💕💎 :
Me ntabaki na wimbo wangu wa unapo wabariki wengine unikumbuke na me 🙏🏼
2026-10-23 12:11:11
33
visionpro590
@Vision Pro :
I love Bitchiz ♥️♥️
2026-10-23 12:35:50
0
neyrapii
Ney🌹 :
mi bd baba endlea kunibariki
2026-10-22 17:40:48
51
deez_cosmetic_furniture
Deez Essence &Cosmetics :
Huu wimbo naweza kuu block vipi
2026-10-22 19:27:11
47
kylah7335
Kylah :
I love this 🥰🥰🥰🥰
2026-10-23 05:01:10
0
marygodwin27
Mary :
Comment section 😂😂🙌
2026-10-23 12:01:36
0
feedach1
Sweet daus ❤️🧚‍♀️🫀 :
MIM SIWEZI KUIMBA HII NYIMBO KWAKELI TAFADHALINI
2026-10-22 17:20:43
103
user72776840147291
Aisha yasir :
astaghafullah
2026-10-22 16:52:01
93
edinajahilo
Edina Jahilo :
huu wimbo umekaa kimtego unaenza ukawa unaimba kumbe malaika ndio anakupitia anarudisha taarifa mwanao kajipata kaanza kuombea na wenginee🤣🤣🤣 aku miye inipite
2026-10-23 07:03:05
29
mwemakondo767
Irfan :
Kwakua ushapata unataka tuimbe mungu atunyime Eti? siwezi imba utanisamehe
2026-10-22 20:50:07
17
shakiraissa0348
shakiraissa034 :
siwezi hata kuweka sttus utanisamehe kipenz😂
2026-10-22 19:38:19
153
sabratamim
Chaby-satma :
Baraka ije kwangu alau nipate ndoa ili nimpate mtoto wa halal
2026-10-22 18:34:31
78
babyshaa326
babyshaa💯 :
mhhhh me siwez kuimba hiii nyimbo sababu nitakufuruu tu bado namtegemea mungu aitaji sana baraka zakeee sana yaniii..sijatosheka mungu endelelea kunixhuxhia tu hizo baraka sijatosheka
2026-10-23 04:29:09
13
ukhty.shuu6
VILIWE FAMILY :
apan hainifai hii maan badi haijatosha kwangu ni mawingu tuu mvua bado
2026-10-22 18:23:04
8
nasrayjycym
Miss Naar :
hii kwa sasa siwez kuimba kabisa Yan we zuchu wew 🤣🤣🤣
2026-10-23 13:37:23
5
ivvyonenamulanda
Asha :
hii nyimbo hapana unampangia mungu jamani ☺️
2026-10-22 18:32:31
11
muhammadchande43
Bin Chande :
allah akusameh
2026-10-22 17:43:22
37
mamier.ansary
mamier ansary :
jmn hamjaelewa kamanisha kizaz alichopewa kwake tayr japo kakoses kidg ila mungu abarik na wengne wassiopata baraka hii wasiikose kwa uelewa wangu huo
2026-10-22 20:45:20
11
mwanaidi437
sweet girl🤭🦋🦋 :
Mmh hii hapana
2026-10-22 17:50:07
9
mamitho860
Mamitho💙💙 :
Najua mnaogopa kuimba hii wimbo maana haijatosha ila ukiombea mwengine baraka na wewe utabarikiwa zaidi ama vipi😂😂😂
2026-10-23 07:43:02
7
aysal..12
miss pr£tty❤️🫂 :
me kwavile bado sijabarikiwa😂😂
2026-10-22 17:39:43
9
To see more videos from user @king_yapsud, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About