pole sana baba na Mungu akuponye urudi katika kundi
2026-10-22 19:29:02
24
bint mdede :
pole baba kwa maombez ya mt Rith wa kashia akuponye"""'bikira maria afya ya wagonjwa utuombee
2026-10-23 10:38:34
12
Wolfgangi Glory :
pole baba utapona
2026-11-10 19:23:43
1
momulaizer :
pole sana baba
2026-11-06 05:40:37
1
≈Riçkÿ ǰr :
pole baba mungu akuponye🙏🥰
2026-10-24 17:51:24
5
Eva faustin :
mungu akuponye baba
2026-11-09 21:28:04
1
Matt :
pole baba amina
2026-10-26 11:36:16
1
Reokadia Gideon :
Ee mwenyezi MUNGU wasaidie wagonjwa wote
2026-11-09 19:21:39
1
vumilia :
pole mungu atakuponya
2026-11-09 22:13:29
1
Ester :
pole baba
2026-11-13 16:03:06
0
Susan wanyama :
🙏a
2026-11-10 05:27:35
1
Angela Mwamnyanyi :
pole sana,mungu atakuponya
2026-11-04 13:31:04
1
Patrisia Karengi :
utapona baba kwa maombezi ya bikira Maria
2026-10-25 19:24:43
1
maria ndunguru :
pole sana baba mungu yupo nawewe
2026-10-26 13:00:37
1
ezerida mwangila :
pole sanababa yangu mungu takusadi yautapona 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-26 09:55:37
1
Agata :
Mungu akuponye baba
2026-11-04 11:47:12
1
abelkihumbe :
pole mungu atakuponya
2026-10-26 06:41:03
1
allanfransies :
amen
2026-10-24 18:07:05
1
christer liviga :
ee mungu aponye wagonjwa wote baba
2026-10-25 21:48:46
1
Mwanaisher Abdallah Juma :
yupo wodi gani tukamuone
2026-10-23 17:11:14
3
Theopister Thobias :
Ee mt rita wa kashia we ndo mwombezi wetu wa mambo yaliyoshindikana tunakuomba mam yetu we ndo ulipata maumivu makali ulipokuwa na kidonda kwenye paji lako la uso na leo nakuomba uwaombee wagonjwa wote waweze kupona walioko ma hospital ma jumbani na popote pale ewe mt lita wa kashia ndo tegemeo letu
2026-10-26 21:12:31
1
patient :
tupo katika mwezi wa mama maria tuna tumaini ya kama utaponyeshwa kwa ombezi wake boro
2026-10-24 19:27:29
1
ISMAIL MAGANGA💯💯 :
mungu uwaponye ata kama vinyea vyao havta toa sauti bx uskilize mioyo yaoo
2026-10-26 04:19:30
1
zuhurajulias2 :
pole sana baba mungu akusaidie upone
2026-10-25 05:14:24
2
To see more videos from user @beda.mjiji, please go to the Tikwm
homepage.