ni sahihi mungu ni sisi wenyewe je sisi ndo tuliweka mbingu, hewa, mavua ,bahari aridhi,nyota mawe n,k
2026-10-23 09:19:22
0
najey :
najifunza
2026-10-24 07:43:04
1
G dax Chonya :
sisi tulikuepo hakuna chanzo Wala mwanzo tulikuepo na tutaendelea kuepo
2026-10-23 01:06:34
1
Your eyes :
mbona kama hujajibu swali ulilouliza? uliuliza "chanzo" cha mungu ila umejibu mungu ni "nani" (wtu mwenyewe). chanzo chake ni nini?
samahani lakini pengine sijaelewa vizuri.
2026-10-23 04:26:41
0
kkey01_2 :
Zima hisia washa akili✌
2026-10-24 13:22:31
1
Wakanda. :
waziwazi
2026-10-22 16:38:14
1
💥Zigg Broken🍁💭 :
..mi bado nipo na wewe ukiweza kunmby kwann ujui ulikuw wap before we hapa na nin chanzo cha vitu vyote hiv
2026-10-24 07:02:38
0
MLIMWENGU🌀 :
wa afrika wana amka
2026-10-23 14:15:29
0
petrojulias7 :
kweli bhana
2026-10-22 19:18:34
1
Godfrey Masoga :
sasa mbona kila siku watu wanaongezeka kwanini
2026-10-23 12:13:16
0
user2858053361629 :
asante
2026-10-23 20:01:22
0
Gerrald air condition :
wafia dini apo hawakuelewi
2026-10-23 08:18:52
1
fidoman :
SISI NI INZI
2026-10-23 21:26:28
0
To see more videos from user @awake7695, please go to the Tikwm
homepage.