kaka apo kwenye akiba sasa kuweka hahaha ukiongea ivyo ni very easy but in real life wapambanaji uwezi weka akiba ndani mwaka na usiguse kaka mana Kuna kipindi unakosa ata nauli yakukupeleka town ukapambane Tena 😆🤗
2026-10-23 05:01:54
1
GFX 📊 :
Great 👍 facts 🔥🔥
2026-10-23 05:14:46
0
Blessed Gal :
hujachelewaa Fanya [Laugh approved]
2026-10-23 09:34:48
0
mark j :
2026-10-22 20:05:49
0
Captain.ilocs (Mr Adabugah) :
kijana mdogo ukizingatia haya hutakuja kujutia hasa kwenye kuweka akiba kidog kidogo, kuacha anasa kama za madem nk, kuwa surrounded na watu wanaokupa moyo wa kupambana zaidi aseee noma sana mkali 🙏
2026-10-22 22:57:41
1
HUBA NTAMA TRUCK DRIVER TZ🇹🇿 :
big up💪💪💪
2026-10-22 16:47:31
0
Baraka_madini💎💸 :
ila malengo
2026-10-23 06:35:36
0
timothdenis5 :
TUNAOMBA FACT NA MAFUNDISHO KAMA HAYA YA KIJANJA 💪😁
2026-10-22 20:22:01
0
Airwise_tz🇹🇿 :
1,2 na 3 nishazimalizaga ndo naingia 4
2026-10-23 00:32:43
0
AZYZ ALLY :
uko ngapi
2026-10-22 19:15:49
0
timothdenis5 :
fact kaka💪
2026-10-22 20:21:34
0
@sapphire😊 :
issue n kutoka kwenda huko usipojulikana unaenda ukiwa na nini binadam wamebadilika
2026-10-23 06:14:17
0
emir_santos_jr :
fanya bado hujachelewa
2026-10-22 20:30:46
0
Yvonne_ Hairland :
imekaa poa ilikukamilisha vyote bado mbili na tano
2026-10-23 03:40:34
0
Kijiti_ :
KUBALI UHALISIA 👁️👁️👁️
2026-10-22 17:29:02
0
Andrew :
🤑🤑🤑🤙🤙
2026-10-22 22:10:47
0
barakamwita179 :
🫡🫡🫡
2026-10-23 08:36:56
0
To see more videos from user @powerlines.daily, please go to the Tikwm
homepage.