Assalaam alaykum, mwalim mbona nmekusave sioni status
2026-10-22 17:40:00
2
Berna :
mimi niliwahikuugua mpaka naona watu wanakuja kunichukua hosptali na nilikuwa napiga makelele nawataja lakini nilipona kwa nguvu za Mungu Mama yangu alisimama na maombi na wanamaombi wenzake mpaka nikapona, aisee sikufa kipindi hicho Mungu yupo jaman alinisimamia na ningebakia hosptali ningekufa
2026-10-22 17:11:18
2
Said Mnunduma :
minded tips🔥🔥🔥
2026-10-23 08:45:57
0
prettyruth :
najivunia sana wewe najuta kuchelewa kukufahamu waiting ningekufahamu mapema
2026-10-22 20:19:14
0
Dilara Bissness :
Mwalimu watoa siringwa na sisi twakutegemea vipi kunjipanga [Laugh approved]
2026-10-23 16:09:41
0
snake bite :
Kweli kabsa mwalimu wangu pekee wa kiroho
2026-10-22 16:56:41
1
Zubeida Suleimani :
mtihani mwalimu wifi yangu alikuwa anasema majeshihao
2026-10-23 04:18:08
0
marggy303 :
exactly my mum alikua akisema nifulani anamuua na kweli akafa
2026-10-23 16:37:25
0
mjanja alex :
unasema mgonjwa akifariki kwa uchawi huwa yuko sehemu hio sehemu naweza kumuona ama nimurudishebuhai inawezekana