mungu mlinde mama yangu popote alipo sina kitu ila mlinde tu kwa ajili yangu😔😔🙏🙏
2026-10-23 03:14:32
72
Sabra ❤ :
allah amuhifadhi habibty mama amuondoshee adhabu ya kaburi[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-22 19:24:56
9
Asumini Abdallah :
hakuna maumivu kama kuishi ktk hii dunia bila mama na baba Kuna mda nawaonea donge adi watoto wangu wakiniita mama na wakimuona baba yao wakamkimbilia mungu niweke me na mume wangu kwa ajiri ya watoto wangu na wape Pepo ya juu baba na mama angu.
wenye wazaz wao wawatunze sn asee dah nataman wazaz wngu wangekuwepo pumnziken Kwa aman baba na mama angu Mungu awapunguzie adhabu ya kabur😭😭😭😭
2026-10-22 20:53:37
25
babe s👸🏻💞💗 :
maskin nabakig kulia tu naposkia hii nyimbo😭😭
2026-10-22 19:04:47
7
🌸 Neirah mumo 🦋 ✨️ :
🥺🥺daaah mungu mpe maisha marefu mama yngu
2026-10-23 13:11:05
2
rebeca eria :
pumzika kwa amani mama yangu
2026-10-22 20:48:29
12
josephina urio :
nikiangalia mpka nalia tu mungu anisaidie
2026-10-23 12:09:34
1
@MissCatherine.. :
Ayaaa zima camera nilishe kuku mwanangu
2026-10-23 08:13:26
2
Mamu :
Daaah nimejikuta nalia tu ningekuw na mzaz nami ningemuimbia 😭😭
2026-10-23 08:09:54
0
SHUU POINT :
alhamdulillah ktk zawadi nashukuru llahu kunipa mtoto alienijua mama ake akili zangu Kun amuda tunacheza kombolela tunacheza kiduku yani na umri huu michezo yote ya utotoni nacheza alhamdulillah
2026-10-23 09:29:38
1
Denis :
ambao hatuna mama huu wimbo huwa hatuupendi kabisa [Crying][Crying][Crying]
2026-10-23 06:17:12
2
user5092045556006 :
mungu mponye mama yngu
2026-10-22 17:38:03
4
Madam irene🌹 :
Jaman mam Ivan
2026-10-23 05:38:46
2
CUTE MIDEKO❤💯💫 :
🥰🥰🥰
2026-10-22 17:04:00
1
Brown Hub🎶🔥 :
Mama sijapenda hujaniitaa unampenda ivan tu🥺🥺🥺🥺🥺🙌🙌🙌
2026-10-23 03:39:56
0
Queen Wolf :
Mungu akuponye mama
2026-10-22 20:07:22
1
jasmin :
2026-10-23 12:34:20
0
zuucute :
mungu walinde wazazi wangu
2026-10-23 17:40:16
0
user1326879092466Makaishe :
Nimeipenda sana hiyo.
2026-10-23 14:31:04
0
dax electronics :
R.I.P MOM 🥺
2026-10-23 13:37:29
0
Lucy Alexander 💋🫂 :
Mungu awape maisha marefu mama zetu na waliopoteza wapumzike mahari pema peponi ...♥️🙏
2026-10-23 13:36:19
0
user27331146692873 :
mungu naomba ulinde besti yangu mshauli wangu mama yangu kipenzi🫶🤲
2026-10-23 12:43:33
0
To see more videos from user @vivahtz2418, please go to the Tikwm
homepage.