@fredrickmulla: Ibraah amevunja record ya Dunia? #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #kenyantiktok #fyp

Master Manondo
Master Manondo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 16:57:14 GMT
27623
2586
100
5

Music

Download

Comments

braxyommy
Braxyommy! :
kama hana management mzee
2026-10-22 17:03:50
3
dineo_tz
Dineo_Tz :
mbona chache🫩 kina breezy wanatoa album Zina mikwaju mingi Tu
2026-10-22 18:05:29
11
smartmuxxa18
m_smart18 :
mbona fally ipupa katoa nyimbo 70 album Yake ya X na zote zinapendwa ulimwenguni
2026-10-23 11:23:35
4
funisahtz
FUNISAH_TZ :
nimemaliza zote na nimeludia ma 3 na apa naenda kuludia tena
2026-10-22 17:38:05
18
mwinjumajr
chuseability :
punguza maneno watu wanamipango yao
2026-10-23 05:27:53
3
yussuf.ashery
Yussuf Ashery :
hayo maneno ya wasiopenda maendeleo mzee kwenye ile albam ngoma 30 zote kal koo anasitahil kupongezwa kwa kaz nzuri
2026-10-23 04:01:18
2
chugaivo2
Ivo2 :
alafu zote kaliiii
2026-10-23 00:00:28
1
lykke9031
lykke :
mpaka mnamuongelea bas mnamuwaza sana kashafaulu
2026-10-29 18:13:25
1
iamgoldencent
𝓖𝓸𝓵𝓭𝓮𝓷_255🇹🇿 :
Nimemaliza zotee
2026-10-22 23:34:53
0
mwira_beauty
mwira beauty :
Fally ipupa Ana 51
2026-10-22 19:02:16
4
wolfgang_ulrick
Wolfgang✈️ :
Mawazo yenu ndio yamefika hapo..Think out side the box mzee.. Kila mtu na strategy zake.. Huez msemea mtu amekosea strategy
2026-11-03 10:36:54
1
fullenki
JITU 😈 :
Hajafeli 😂
2026-10-22 17:33:47
7
mrkhaan05
mrkhaan05 :
asaante baba akili ni muhimu sana
2026-10-23 12:36:10
1
herojaxmiziki
Herojax :
kuna msanii congo 2004 alitoa album yny nyimbo 3 Werrason ,walimpinga wakongwe ila album ilihit
2026-10-24 21:31:32
1
dj_hamis
HAMIS 👑 :
BAS TOA NAWEWE NYIMBO 5 😂😂
2026-10-31 09:36:28
1
.degrace.officiel
king degrace international🔹 :
Ngoma 5
2026-10-28 20:08:55
0
venance.aber
v square, :
acha kunipangia
2026-10-23 10:07:53
1
hommiesavage166
Hommiesavage166 :
bora ngoma ziwe kalii mm nimesikiza album nzima
2026-10-23 08:02:15
1
rubaya32
SYLVAIN film🎥 :
nyombo yote bro nikali uki sikiliza usela1-mbaya50 ina takiwa ukuwe naatili timamu ili uelewe album ya ibraah 🏆🥇
2026-10-23 13:46:15
1
inooh...spesho
INOOH THE SPÊSHÖ O¹ :
Mi nimetumia masaa mawili na nusu kuimaliza afu kali kinoma. 1B on top
2026-10-22 21:23:57
3
hushpuppijrtz
H U S H P U P P I J R :
mm nimesikiliza la 40 nimezimaliza zote mala 39
2026-10-22 18:51:29
1
wizzyrobert10
Sparo! kiD🦅 :
kuna nyingine mpk yy hazijui😅
2026-11-13 15:06:16
0
xamusafal
xamu Safal :
Ibraah ame fanya unyama sana
2026-11-06 21:29:18
0
blasiusmabalacrow
BLASIUSMABALACROW :
Bila hiyo album, asingekuwa special, kama alivyokuwa saivi ✊🏿🔥
2026-11-09 08:20:21
0
michael.temba1
Michael Temba :
nishamaliza zote
2026-10-22 18:48:00
0
To see more videos from user @fredrickmulla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About