@silas_mbise: #zoravo Ameandika "KWANI HUYU MTOTO YUKO MKOA GANI ⁉️🙆🏾‍♂️" #mbisetvupdate #gospel

Mc Silas Mbise
Mc Silas Mbise
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 16:58:43 GMT
61104
5185
148
58

Music

Download

Comments

safwagirl0
safwa girl❤️💍🔥🫶 :
Sauti yenye mamlaka aiseeee🔥🔥👌
2026-10-22 19:15:54
82
tinnah20260
Tinnah@2026 :
another justin asifiwe🙌
2026-10-23 13:15:42
6
evelyneddison
Abby :
MUNGU usije mchukua mapema huyu acha awe chombo chako Cha sifa mpaka kihama akiwa anahubili NENO lako kwa njia ya nyimbo 🥰🥰🥰
2026-10-23 07:09:56
56
user4834006629394
hope jonas :
Huyu mtoto anasoma shule ya paramagamba kabudi inapatikana mkoa wa morogoro wilaya ya kilosa yupo hapo huyu kijana Yuko vzur sana
2026-10-23 06:00:06
18
user1267791857701
mom 2g :
anaitwa farrii nenda kabudi sekondari kilosa morogoro utampata
2026-10-28 18:41:14
1
ezrakahema353
Ezzy :
just imagine hiyo sauti inatoka amekaa akisimama jee🔥🔥🔥
2026-10-23 12:11:29
14
jacklinetz.01
Jacklinetz 01 :
Nimebarikiwaaa n saut yako 👏🏽👏🏽👏🏽
2026-10-23 07:14:36
15
user9198680574371
Gee🌹 :
congratulation dog🥰🥰🥰🥰
2026-11-03 20:05:55
1
pauloomary3
pauloomary30 :
adi machozi ya furaha yamenitoka Mungu akumbuke huduma yako hii ambayo imefanya watu watoe machozi ya furaha na upako wakt wote utakaopitia.😊
2026-11-05 20:41:12
2
.lizzy.tz
#MISS LYNE01# :
aiseeee hawa ndo malaika wenyewe waliokuja kwa mfano wa binadamy
2026-10-23 10:18:39
8
user6631398003867
user6631398003867 :
Ee Mungu naomba umlinde huyu mtoto adui asiibe kipaji chake akutumikie wewe siku zote za maisha yake
2026-10-23 12:52:27
4
user1581795060056
ms priscah :
hongera sana, Mungu akuinue zaid🔥🔥🔥🔥
2026-10-26 11:45:20
3
gsm3372
GSM :
hapo amekaa je akisimama
2026-10-22 19:08:07
7
59smile
SmileRJ💖 :
asante kwa kipaji ki mungu kukitoa kwa kijana uyu🙏🙏
2026-10-27 18:07:56
3
user9240960868019
🥀 Eunice 🥀💝 :
barikiwa sana mdgo wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-26 22:21:40
1
beasophia06
sophy.cute :
waoo barikiwa sanaa
2026-10-27 20:25:16
1
neemaamos115
Neema Amos :
watot wanavipaj jaman mungu nijarie pes nisaidie waitaji jaman
2026-10-24 07:37:49
4
user1581795060056
ms priscah :
hongera sana, Mungu akuinue zaid🔥🔥🔥🔥
2026-10-26 11:45:20
1
nek9016
NEK :
🥰utukufu tunamrudishia Mungu
2026-10-26 10:14:13
1
rebecca.paschal5
Rebecca Paschal :
Hadi nimelia jamani mungu amtunze
2026-10-23 08:22:05
6
christinabenson814
Christina Benson :
aise saut iliyo barikiwa uuuu mpaka nasikia utam
2026-10-24 09:19:33
2
user7427920173367
user7427920173367 :
mwambise barikiwa sana
2026-10-24 18:57:23
1
kunrich095
kunkan :
yupo moro kilosa
2026-10-25 14:11:47
1
patricia.hezron5
Patricia Hezron :
yesu akuinue mdogo wangu
2026-10-23 17:19:55
1
user3747382733963
monica Livingstone :
Amen fika mbali babaa
2026-10-23 07:38:20
3
To see more videos from user @silas_mbise, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About