yani mm namwambiaga mwanangu anishikie kwanza ugovi naenda chooni nikiludi naendelea 😂😂😂
2026-10-22 19:51:09
7
ritha :
kabisaaaa jamani naongea hadi nikiwa nimelala
2026-10-23 03:56:03
1
🦋sommy salum🦋 :
kabisa yaan
2026-10-22 19:11:49
3
Madollar :
Mm kila nikiamuwa kunyamaza roho inasema we ilo usivumilie ongea [Laugh approved]nachoka mm jamani
2026-10-23 17:06:03
2
vee💄 :
Uyu no Mimi kabisa
2026-10-23 21:00:20
2
AG BUSNESS :
mmm nasema sitaki kuongea sana alafu naanza tena kuongea
2026-10-23 06:31:52
0
Jolibeth black beauty :
mim huwa naongea hadi Mme wangu anakasirika halaf yeye huyohuyo atakuwa wa kwanza kunibembeleza
2026-10-23 12:50:43
2
Tinnah :
ndo mm kabisa hahaaa
2026-10-23 18:54:09
1
Happines Richard :
uyo ni mimi kabisa
2026-10-23 16:20:48
1
Samiji :
kwanza leo sina mood ya kuongea kabisaaa🤣
2026-10-23 05:21:48
0
Fatuma Abdillah :
mi naweza kuongea hadi asubui yake
2026-10-23 18:31:40
1
N'chalika :
unaniaza wewe nikiongea unasema naongea sana 😂😂😂😂
2026-10-23 11:54:12
1
@ms 🥰 Lee 😘 :
mbona mnanisema mm jaman nimewakosea wapi😅😅😅😂😂😂😂
2026-10-23 04:13:10
0
Pastel Kihombo :
kher yenu mnaowezs kuomgea mkiwa na hasira,mm nikiwa na hasira nashindwa kuongea naishiaga kulia t🤣🤣
2026-10-23 04:41:20
0
khalifa Ahmed :
daah uyo mm kabisaa😂
2026-10-23 20:00:57
1
Aiem zee 🍏🍒 :
mimi huyo hata hmja kosea😂
2026-10-23 07:14:10
0
lovelly❤️ :
kwishaaaa mm kwa kweli alf nakuambia ww umpenda kuongea sana jamni🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-23 06:59:49
0
Irene Mboya :
na siku nikisema nikae kimya hutaons kumbe hatuwezi ni chiriku pro max😅😅
2026-10-23 03:24:12
0
mkutwa :
Tatizo unapenda kufanya nionekane naongea sana😂
2026-10-22 19:53:37
2
Lulu vee :
huyo mama angu kabsa anakusema kwanzia ahsubui mpaka jua linazama akichoka anamalzia bora ninyamaze nisiseme mengi nikaona me muongeaji 😂😂
2026-10-23 06:10:04
0
naah :
😂😂nafoka natamani kulia an mpaka unikumbatie
2026-10-23 16:14:19
1
Aisha Simba :
Kuna siku niliongea kuanzia saa 4 ucku mpka saa kumi alfajil mm mwenyewe mpka nikajishtukia alafu mzee ameamka ananiambia unalala Nini cbora ukafagie uwanja maana kumekucha
2026-10-23 21:16:24
0
last born :
ambao hatuongei tuunde group
2026-10-23 21:04:21
0
OlverChonge❤️ :
ila Usingizini🤣🤣🤣 Na kufyonza Juu😂😂
2026-10-24 00:27:08
0
To see more videos from user @cheka.tu4, please go to the Tikwm
homepage.