@chrisant444: Maumivu nilazima kwa mwanadamu,shida nikwamba unaumizwa nanani,uliempa mda kiasigani,thamani,kujitoa,na ukaweka tumaini kubwa 💔💔💔Moyo kichaka sana💔💔 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kongotiktok🇨🇩 #rwandatiktok🇷🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #burnditiktok🇧🇮
The rock Tz
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 17:24:02 GMT
Music
Download
Comments
deogratiusleonard2 :
bro kama co movie hapo huna mke
2026-10-22 19:36:25
2
Diana Mabamba :
Nan Yuko single kama mimi
2026-10-22 20:24:13
1
mctaygajeshi8 :
zarau famiria😁😁😁😁
2026-10-22 19:00:42
1
Natalia💕💕💕 :
Huyu dada ningemptia siku moja wakwangu uwiiiiiii🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️sms ulizofuta zinarudshwa mwenetu😅😅😅🙌🙌🙌🙌
2026-10-22 19:38:53
3
josephkaingu657 :
kimya kimya lakini
2026-10-22 19:41:27
0
noelytonic emmanford faustine :
😁😁wanawake wachache tugawane tu taratibu kila moja apaate
2026-10-22 19:37:47
1
mr mwigonji :
hii imeshanitokea😂
2026-10-22 20:16:26
1
user6250940988394 :
Hayo ndy maamuzi brooo 😅😅😅
2026-10-22 19:40:39
1
johhmike14 :
bro ata kuongea unapoteza muda hatunaga msamaha kwenye kosa ilo
2026-10-22 19:52:51
1
abdallahmchambwa :
daaah
2026-10-22 19:58:55
1
Ofjasag Family :
HAPO KUNA MAMBO HAYO ✌️
2026-10-22 20:00:49
0
fii :
mkuu vua buti vaa ndala tuu yaishe✌🏻🤝👍🏻💯✅
2026-10-22 19:02:25
1
j.jow2425 :
dah bro we mbinguni vip me ngempigaje
2026-10-22 20:41:09
0
Jackie's collection :
bora usingetoa simu
2026-10-22 20:33:37
0
Dj Beka_255 :
hiyo inatokeaaaa hiyooo kama hujawahi pitia bado hujabondwa na uhusiano...[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 20:38:54
0
Issame Thomas :
bila makofi jaman
2026-10-22 20:34:29
0
Elia Minja :
2026-10-22 20:18:11
0
Ömmý ğüýś :
women
2026-10-22 20:09:46
0
Alex tz :
Achan na mim.
2026-10-22 19:37:11
0
Venture Malobo :
cast wote mko vizur 🤝
2026-10-22 19:41:17
0
Muqtarry :
wapo wengi xana dizaini hiii
2026-10-22 19:54:29
0
❣️💞💯 :
vitu vyang kabsa😂😂
2026-10-22 19:56:40
0
EMMA ZE BOY 👦 🥊🏴☠️ :
Hii move kalii saana
2026-10-22 20:48:36
0
Hajji Micholo :
kwer bhana 2gawane
2026-10-22 19:51:00
0
God first :
dah inauma sana
2026-10-22 17:34:02
0
To see more videos from user @chrisant444, please go to the Tikwm
homepage.