nilikula hizo njegere zilizo Ota. niliumwa tumbo sio powa
2026-10-23 07:11:30
7
Jasmine Pazuel :
Mi napenda lafudhi yako
2026-10-22 21:10:52
4
Briana :
Kuna MINTI asee 🙌💔
2026-10-22 19:36:04
6
mamythreeN :
na panya tuwàambieje
2026-10-23 04:11:18
4
MK :
Miaka yote naweka peace kwa freezer na hazijawahi ata
2026-10-23 04:59:14
6
user1052115834037 :
lettuce wanasoma leyas😂sio letus🤣
2026-10-22 19:25:35
1
fortunate :
Asante mwl👌👌
2026-10-22 21:01:08
0
Madam GLM :
asante kwa elimu nzuri
2026-10-22 18:23:11
1
Mama Michelle 🌸🌿 :
mmh mimi bana niliwahi nunua ngongwe zangu za buku kama kisado kimoja hv si nikaweka kwenye frizaaaa..... weeeeeee makosaaaaaaa nilipo Zitoa tuu zikawa nyeusi mama sumuuu😅😅😅😅🙌🙌
2026-10-22 19:21:18
2
Mjaruda :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] Kuna siku niliweke njegere kwenye frij nilizikuta zimeoshata sikuzipka nilimwaga Asante chief Kwa elimu nzuri
2026-10-23 06:51:38
0
winnie23 :
shukran kakaaaaa
2026-10-22 18:58:42
1
moswaga_tz :
asante kwa darasa zuri
2026-10-22 18:41:35
0
mom key :
Nipe madini mwalimu .
2026-10-22 18:16:56
1
penny..4 :
Asante
2026-10-22 19:41:10
0
Mhengastore :
Asante kwa elimu
2026-10-22 19:35:32
0
Omay sall :
uko vizuli
2026-10-22 18:18:27
0
djamila 💗 :
2026-10-22 17:53:46
0
raya_cakes_bites :
ndio
2026-10-22 19:50:51
1
PREMEXA HOME 🏡 :
Sawa kwenye friji tutakuq tunaweka nyama maji na soda tu au😁
2026-10-22 18:47:39
1
AbuuFahd :
hadi tikiti,,tikiti unafunga kwenye nailoni hakikisha haipishi hewa,,unahifadhi hata wiki mbili bila kuharibika
2026-10-23 13:26:04
0
Abdallah Mwasiho :
Huyu sasa ndiyo Waziri wa vya kula🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-10-23 06:32:19
0
Dolla Slaa :
Ehhhh jamn kwa hyo fredge n kwa ajiki ya chakulaa tu soda na maji lohh
2026-10-23 03:49:03
0
Khadija Hemedi :
nashkuru ulinielekeza kupika supu ya kuku kienyeje. aisee ilikuwa tamu balaa shombo hakuna kbs
2026-10-23 10:51:04
0
bebyface :
ndioo
2026-10-22 21:07:26
0
zebrin Alkarim :
2026-10-22 19:28:21
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm
homepage.