@mikedastan: Ukweli ni huu hapa kuhusu kuwekeza UTT🏃🏽‍♂️ Hoja ya @mikedastan ipewe mauwa yake Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥, Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri, Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri, 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @miss_wanda_gordon Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta, BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.

mikedastan
mikedastan
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 17:58:21 GMT
16370
652
37
37

Music

Download

Comments

banko_benne
Bennett Bankobeza :
Haa!! Beautiful
2026-10-23 13:25:59
0
user4638805040266
user4638805040266 :
Kitu kimoja nilichogundua ni kwamba watu wengi wanapenda njoa rahisi ya kutoka kimaisha. Utt iko hapo kukusaidia kusave pesa yako ukiwa unapata faida ni kama bank tu. Wew eunataka kua billionaire kupitia utt.
2026-10-23 18:27:39
3
sceb23
Sceb23 :
Kwa iyo walitakiwa wawekeze wapi?Forex?
2026-10-22 20:57:26
0
primecare_ess
PrimeCare ess | Minoxidil TZ :
Wandia analipwa ndio maana anahamasisha hilo jambo kwa nguvu, ila kiukweli vijana tutafuta njia zingine za investments tusiuziwe uwoga wa maisha ya kutunza pesa badala ya kuzizungusha, no risk no gain
2026-10-23 10:23:44
0
saumu64
Saumu A🌸 :
Mnamchanganya wanda
2026-10-22 18:09:02
2
stanboy_de_breezy
STAN B :
hehehehhe HAAAA BEAUTIFUL
2026-10-23 02:48:16
0
jo_interprises
JO interprises🐐 :
Hahahahaa mwekee na feni apo maan sis anaswet sana
2026-10-23 06:24:51
1
masinderhoida
kemilembe :
Watoto wetu wana akili kubwa sio kama sisi tulikuwa tunabebwa tu
2026-10-23 07:21:19
0
lusindendama
lusindendama :
kama una nguvu na muda wa kufanya Yako UTT haikufai. ila sisi wastaafu na wastaafu watarajiwa inatufaa sana sababu muda wa kutafuta utajiri ulishapita. sasahivi tunatafuta kula kulala na matibabu sababu ya umri. muda wa kupambania mafanilio ilishapita kwenye ajira
2026-10-23 16:24:32
1
bphotos_studio
Brown✨️ :
Safii
2026-10-23 20:34:20
0
a_listning_earr
a_listening ear :
Kuna kitu kinaitwa “Risk appetite “ au kWa maneno ya kisasa tunaweza kusema “kisukari “ maana soko la hisa (shares) ambako utt wanapeleka hela ukienda as an individual uwe na msuli wa imani na mtaji maana soko ni kama Lina bi-polar
2026-10-23 08:59:00
0
user4360010171775
notorious :
muendelezo WA hii napata wapi
2026-10-23 13:07:13
0
bitesland2024
Bites Land :
utt ni kwa watu wavumilivu,
2026-10-23 15:41:24
0
saievans1
saievans1 :
aaaah huyu dada hatakubali tena kufanya interview maana kawa mpole 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-23 14:47:28
0
gulawaluchafx
gulawaluchafx :
kalinda au utt mnifahamishee😊e
2026-10-23 11:16:33
0
barnabas_nyanda
barnabas_nyanda :
Vijana hao huo muda wa kutulia kujifunza wengi hawana na utt imeweka wazi ipo kwaajili ya watu ambao hawana mda wakufuatilia mambo kihivo……..Jamani muacheni dada angu @miss wanda gordon mmemuweka hapo peke yakeaf 😅mnamshambulia
2026-10-22 21:24:22
1
suleymanidallu
suleymani :
vijana wna fact lkn mbk hapo haya bado upande wa pili tunahitaji kumsikiliza huyo dada
2026-10-23 05:03:39
0
araphizo4
araphizo4 :
Kwann alikuja peka ake jamnnn
2026-10-22 18:13:31
0
rivalnavorn
Fakeshooter :
Kila mtu afanye anachotaka cz mwishoni nchi 6 tutawekwa aisee biashara sio mchezo bora huyo apewe asilimia moja ya na UTT ya kumlindia hela kwa mwezi
2026-10-24 08:30:39
0
mumwisenjumile
mumwisenjumile :
halafu wale wapi
2026-10-22 20:41:22
0
.merly01
Merly :
income=consumption+saving👌👌 kwahy ww utaamua saving yako upelek wap utt au ubet uliwe msituchangany bhn 😁😁
2026-10-24 06:14:24
1
tradingbotseller255
Professional IT & Trader (Jr) :
Humwambii kitu Wanda na UTT mbuzi na gitaa tu hapo. 😂 Dada pipy nishushe eeh samahani okay Take Profit
2026-10-23 03:22:08
0
the_black_espresso
Soka :
Tofauti ya UTT na wengine wote ni issue ya Risk Management tu!...nadhan watu wanaweza kuwekeza wao kama wao kupitia DSE, FX etc...na wanaweza pata elimu through DSE, BOT, CMSA, TIC etc...la msingi ni Taarifa ya Aina ya Elimu inayotolewa na taasisi husika kulingana na mahitaji yako ya Uwekezaji 🤷‍♂️
2026-10-23 07:20:33
1
leman_2390
quantGC :
haa beautiful 😂
2026-10-22 18:06:46
0
_chinga25
₳ⱠØØØн 🌀🧩 :
meza mnazo tikisa 😂😂
2026-10-22 22:15:06
0
To see more videos from user @mikedastan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About