@mwaipaya_: Hawa ni wananchi wa kijiji cha Misigiyo wilayani Ngorongoro walipomuokoa ndama wa Tembo aliekwama kwenye tope huku akitafuta maji. Mkiambiwa wamasai ni wahifadhi kwa asili muelewe. Acheni kuwafukuza wamasai kwenye ardhi yao waliopewa na Mungu wakati kila mara wamekua wakithibitisha kwa vitendo kwamba wanaweza kuishi na wanyama bila madhara (Coexistence). Visitngorongoro Crater