@sportsextra_tz: Full Video ipo YouTube Channel ya Mzinga Sports.!

SPORTS EXTRA
SPORTS EXTRA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 18:23:35 GMT
272574
18755
168
257

Music

Download

Comments

reonadedward7
Mr.Reo :
ko simba na yanga tunaweza kutana makundi
2026-10-22 19:54:10
50
fadhilinoza45
Fãdhīlī-ñözā-4️⃣5️⃣ :
sizani kama wataweka timu mbili kutoka nchi moja
2026-10-22 19:55:51
34
user3121922691514
mr Patrick luck :
mmmh kazi tunayo simba
2026-10-22 19:33:26
9
mubah.black
B . boy :
Na mimi naombea tukutane na simba kund moja ili tueshimiane mana washaanza kutuzoea🫡
2026-10-23 02:45:51
11
charles.marco63
Charles marco :
haaaa yoyote aje kwenye kundi lote la simba
2026-10-22 18:57:16
20
nck231_
Ja Rule :
Ingekuwa simba na Yanga kundi moja hapo Simba angekuwa na uhakika wa point zake 6 kutoka kwa Yanga😁😁
2026-10-22 20:32:14
7
lowasa.edward
Lowasa Edward :
yanga tumeisha mungu wangu🤣🤣🤣
2026-10-22 20:40:47
3
254omg
TheGodSon💫 :
kwani simba tumefuzu 😅😅
2026-10-22 20:13:27
7
fransispetro326
francx ⁰ :
Jamani kiufupi ni kwamba ukiwa port moja na timu flani mf.Simba na Yanga maana yake hawawezi kukutana kabisa
2026-10-23 11:26:50
5
mariammariam6138
@𝚖𝚊𝚛𝚒𝚊𝚖 🥰🥰 :
naona yanga kukutana tena na mamelod
2026-10-23 08:53:06
2
husseinmkunga
HUSSEIN ALLY MKUNGA :
Hapo kuna mambo makuu haya✌️
2026-10-23 16:53:37
2
official_saidi07
@Abel1 :
waje simba wote hao
2026-10-22 18:53:09
8
charice.prince
Charice21*💖 :
hii clip ya msimu uliopita asfar hayupo
2026-10-22 20:26:50
0
codej73
codeJ :
sisi Yanga tunamtaka tumfunge 7
2026-10-23 05:16:36
1
chryss.smil2027
ELL NINO :
yanga kayatimba
2026-10-22 19:27:19
5
emmanuelkasongo399
Emmanuel autospear party :
kanuni ya CAF hairuhusiwi timu mbili za nchi mojaa kukaaa kwenye port mojaa sijui tunaelewanaa jaman
2026-10-23 06:02:22
0
feisalkatinji
katey,,com :
simba ubingwa mabeganih
2026-10-22 19:36:54
4
its.ferion
its ferion :
kvp sasa akati huku tunapigiwa kelele na wachambuzi kua simba kimataifa wapo mbalii sana kuliko yanga 😂😂
2026-10-22 20:34:45
4
imatheboy03
IMA .electronics services. :
yeyote sisi kama Simba tunaluka nae
2026-10-23 09:20:09
4
emmertz.001
ETM~Boe :
kwa hyo icon yetu Simba mmeona mtuwekee doumbia
2026-10-23 11:40:37
0
saedameer4
saed ameer :
Kuna Timu kutoka Tanzania itapangwa kundi moja na Mamelodi na Orlando pirates
2026-10-23 08:27:01
1
bernard.jr19
BERNARD JR :
haiwezekani na haitokuna tokea
2026-10-22 21:11:15
4
sumbwiii
sumbwiii :
Ivi haiwezekani simba na yanga zikakutana nataka nishuhudie mauaji😁
2026-10-23 04:54:09
0
artchey3
artchey :
naziona timu zetu hatua ya robo fainali🥰🥰
2026-10-22 22:29:27
1
nastybills
Nasty Cee :
2026-10-22 19:32:56
2
To see more videos from user @sportsextra_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About