Eee MUNGU najua nimekuomba mengi sana ila naomba uachane na yangu uanze na huyu dada🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-23 16:56:06
200
user9002751492581 mbatyani Reh :
pole sana mungu akusaidie upone maana kwake hakuna linalo shindikana mpendwa muamini yeye nae atatenda kwawakati wake
2026-10-23 13:13:37
97
Raphael Noah :
Ee MUNGU baba mwenyezi mwenye huruma tazama nakuita kwa upendo mkubwa ulio jaa moyoni mwangu Nina kuomba unyooshe mkono wako wenye nguvu na uponyaji na baraka pia juu ya huyu mwanao na umrejeshee hali yake ya mwanzo ili nae arudi tena kwenye furaha AMANI na utulivu Ee Bwana baba wa milele tunakuomba sisi wanao pokea maoimbi yetu🙏🙏🙏🙏
2026-10-24 18:12:28
24
deseal man :
mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia
2026-10-23 14:23:27
24
Jenny Bray :
pole sana mama angu mungu atakuponya
2026-10-27 17:12:23
5
mr Jay :
mungu akutie nguvu na furaha moyoni pako milele na pole sana dear
2026-10-22 20:56:12
14
R :
MWENYENZI MUNGU NAOMBA UMUPONYE MTOTO WAKO HUYU BABA.
2026-10-23 12:32:22
16
Abdul ashura ashura :
pole sana Allah akufanyie wepesi
2026-10-25 10:17:43
5
lucy :
duh!! pole sana kipenzi mungu mwema utakuwa salama
2026-10-25 12:32:50
5
lung,wecha OG wa bhuchosa :
pole sana mdogowangu mungu atakusaidia utaponaa
2026-10-25 16:29:07
5
Makungu Rahel :
Mungu muponye mwana wako
2026-10-25 14:40:28
5
Mrs.Omary :
pol kipenz Mungu akutie nguv
2026-10-23 10:06:24
5
Editha and Elizabeth :
pole Sana Dada Yangu Mungu Yupo Nawe!
2026-10-23 04:27:26
6
Mariam Magati :
pole sana ndugu mwenyezi mungu nakuomba kwa unyenyekevu mponye binti huyu😭😭😭
2026-10-23 14:06:33
6
Paul Marioo :
emwe nyezi mungu mjarie uyu kiumbewako
2026-10-27 06:27:26
5
yasinta❤️🥰 :
pole sana mungu akufanyie uwepes upone haraka
2026-10-24 14:45:47
1
Ally Mkali :
pole sana dada yangu mungu atakusaidia
2026-10-25 18:31:16
1
Kefah Orenge Getiro :
Be healed in Jesus mighty holy name
2026-10-25 17:48:35
1
Majaliwa vibes😂 :
pole sana mungu atakulinda
2026-10-25 14:06:21
3
To see more videos from user @tembomyama09, please go to the Tikwm
homepage.