@john.kalekezi4: Wakristo wenzangu tuzidi kuomba Mungu tuzidi kumpenda Mungu acha mazoea kwa Mungu kuna watu wanatamani kuabudu kwa Amani lakini Mazingira wanayopita ni magumu sana, acha kujiachia kwa Mungu weka moyo wako kweri safari hii haitaki mzaha
we are praying with you our dear brother, it is not easy.
2026-10-28 07:34:36
1
josphine :
wapende wasipende injili ya yesu yazonga mbele,poleni sana 😢😢
2026-10-23 03:59:33
36
00000000000biaho0000 :
kosa vyote,Lakini Usikose mbingu😭😭😭😭
2026-10-23 07:10:24
38
lizzy :
Heri nife ndani ya Yesu niende nikae naye Milele My brothers keep faith we shall meet in heaven
2026-10-23 17:32:58
18
Magreth Mtega :
Baba baba,tazama mateso yawatoto wako.simama
baba Mungu jitwalie utukufu.wakujue
upo upande wao.hawana
Mungu mwingine, niwewe
niwewe 😭😭
2026-10-23 06:38:17
48
Veneranda John :
Mungu wetu anaishi naamini wakati wake uko karibu kujibu maombi
2026-10-23 08:16:47
12
Queen amore :
injili itazidi kusonga mbele:Mungu atujalie mwisho mzuri...tuko tayari kufa
2026-10-25 17:26:20
2
CREAMNOON :
Yesu wa Huruma sikia kilio cha watumishi wako.
2026-10-25 10:17:09
1
glory :
Kwa kweli tuko nyakati za mwisho, ukipata frusa ya kumwabudu Mungu kwa uhuru na amani ni jambo la kumshukuru Mungu sana. Na usifanye mazoea wapo wanatafuta uhuru kwa machozi.
Mungu tetea kanisa lako.
2026-10-24 09:59:56
6
consolatha :
polen
2026-10-23 09:59:50
1
tinymagita2 :
Matukio ya cku za mwisho ufunuo
2026-10-23 08:06:11
7
demwepa :
mungu uturehemu
2026-10-23 11:41:48
0
user3415904086017 :
Yesu awatunze na kuwashindania
2026-10-22 20:15:30
9
Samson Humbe :
Halafu kuna.mtu anasema.mungu ni mmoja weeee
2026-10-22 19:54:15
8
bby Veeel :
poleeeeeeeeeen sanaaa
2026-10-24 12:59:35
1
Essie💜 :
2026-10-23 13:18:09
1
Jane001 :
Mwenyezi Mungu awakumbuke ndugu zetu
2026-10-23 01:49:52
5
Sephora :
😳😳😳😳hummm
2026-10-23 14:13:28
2
SIMON JOSHUA :
kuishi ni Kristo kufa ni faida
2026-10-24 06:45:06
1
userbint kalinga :
eee MUNGU ukawe mtesi wa waters wao na adui wa adui zao upigane kinyume nao, zabur ya 35, ikanene nao kaburn isiache hata mmoja alofanya haya baba kikombe wamekimywea
2026-10-24 09:19:55
1
user41424178877490 :
mungu atajibu hayamaombi
2026-10-23 09:43:52
1
neddy from heaven ❣️❣️❣️ :
mungu atusaidie
2026-10-23 14:36:40
1
Emilly Chepkoech :
the hope is coming soon we shall be resurrected being with christ stay strong.we always rember you in prayers shalom shalom
2026-10-23 10:56:39
1
chairo :
eh dunia inafikia mwisho
2026-10-25 18:01:44
1
Ann G :
jamani poleni
2026-10-23 14:27:58
1
To see more videos from user @john.kalekezi4, please go to the Tikwm
homepage.