Mungu ilazeee mahali pema peponi legend wetu 😭😭😭😭😭
2026-11-24 17:04:59
1
It’sRenny_LH🌸 :
R.I.P eddo💔
2026-11-24 16:09:30
3
Nance Charles :
pumzika babawawili
2026-11-24 16:42:27
1
iron mission📖🎶🙏 :
Pumzika kwa amani tiger😭😭😭
2026-11-24 16:13:26
1
emma msukwa :
kama nawewe umekuja uku ulipo sikia anauma bas tujuane pole eddo utakuwa sawa
2026-11-23 10:46:03
12
Luciana grania@ :
mungu wa woteee nakuita mara 3 mponye kaka eddo jaman
2026-11-24 09:57:04
1
𝓣𝓮𝓭𝓭𝔂 𝓰𝓾𝓷𝓷𝓮𝓻💦🚿 :
Kaharibika jaman au anaumwa?[Innocent]
2026-10-30 18:04:38
2
Angel :
kipindi hicho naishi mafinga kinyanambo B.
nakumbuka ilikuwa kila ijumaa au j.mosi kuna kipindi frani nimesahau kilikuwa ni simlizi furani hivi inasimliwa usiku aisee jamaa alikuwa ananiliza huyu nyieee edo namkubali sana yaani huyu alikuwa anaibeba sana Ebony fm sasa sijui imekuwaje??
2026-10-23 11:09:33
16
Martha🥀🥀 :
pole tiger mnyama get well soon
2026-11-23 20:05:37
2
exzaud🏝 :
hiyoo namba kak achana nayo tulikuwa tunawasha redio tusikirize kipindi cha Eddo tiger mnyama
2026-10-23 08:24:43
31
Vivian Aloyce :
duuuuu kitambo
2026-11-24 09:36:14
1
Velmin :
alaf mbn kam hayupo saw au macho yangu
2026-10-24 00:21:50
11
Prisca Kaijage :
edoooo arudi tummemis
2026-10-23 02:49:29
7
onesmomhami533 :
kiongoz huyu wap yupo
2026-11-19 16:01:24
2
EddoboyTZ🎬✅🇹🇿 :
iyo mwambien arudi kama shida niela aweke namba ya malipo
2026-10-23 09:07:55
6
Dream girl💞 :
mwamba huyoooooooo kusin hakuna kama huyoo, ana vibe saana
2026-10-23 03:21:59
6
DC_ZEAL👑🚘 :
eda tiger mnyama dade va vana vakumbanga elaaa✊️✊️✊️
2026-10-23 06:45:58
6
mamucute401 :
mhhh edo mbona kawa hivo daaah
2026-10-24 22:09:55
1
user2236504925307 :
Yuko poa umri tu unaenda ni kawaida
2026-11-20 03:37:11
2
Chris_moloko :
nasikia anaumwa
2026-11-23 21:58:26
1
Luciana grania@ :
tunakuombea kipenzi Cha Wana iringa: njombe na makambako
2026-11-24 09:58:58
1
Ben Makoi :
Yatima series ile ilikuw inaitwa fam 🥰🥰🥰
2026-10-23 18:55:35
2
sabby_❤️ :
Dah apumzike kwa amani kipenzi chetu
2026-11-24 16:33:56
1
Abilai Fusi :
umenikumbusha mbali ilikuwa 2006
2026-11-03 12:39:57
1
To see more videos from user @nasiwakunyumba, please go to the Tikwm
homepage.