@bilafilta: Anachosisitiza @miss_wanda_gordon ni kuwa wakati vijana wanapewa elimu kuhusu kuchukua ‘risk’ basi pia wanaotoa elimu hiyo wakumbuke kuwa wapo watu ambao wanapokutana na anguko basi huwa ngumu kurudi mchezoni hivyo ni muhimu kutoa elimu ya risk kwa uangalivu mkubwa Unakubaliana na hili kwa asilimia ngapi? Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥, Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri, Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri, 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @miss_wanda_gordon Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta, BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.

bilafilta
bilafilta
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 19:00:12 GMT
7087
376
21
11

Music

Download

Comments

kingdavidfx_75
MK🇹🇿🇳🇱 :
madam yuko right....risk appetite inategemea na background ya mtu,elimu na pia malengo ya mtu.
2026-10-22 20:32:32
9
ti___chi
Ti__chi :
Madam yuko right,we are not the same,if we all go into business,who will be the customers and employees.Let them be
2026-10-22 19:50:43
2
centralzoneclinic
Centralzone Health Solutions :
huyo anayepika nyuma yupo vizuri
2026-10-23 09:14:25
0
lewisskellyfan
CPM :
Madam Wanda uko very right. Kwa watu wa kawaida huku, wakiwasikiliza hao majamaa 💯 percent wanapotea.
2026-10-26 06:28:49
0
erren_ken
erren_ken :
madam apo uliongea point sana
2026-10-22 20:13:51
1
tixyworks0
matrix/martin/mogesa :
no risk no story
2026-10-26 21:18:28
0
ck.cosmetics7
Christopher kanja :
Powerful
2026-11-07 15:43:09
0
itssolz_
sollie :
Well said.👏🏽👏🏽
2026-10-23 10:45:04
0
barnabas_nyanda
barnabas_nyanda :
Those guys wont understand numbers za utt sababu wao wanfigure zao walizoziona na kuziamini kwenye forex na time frame zao and secondly they have to know utt needs time sio kama forex..!!!
2026-10-22 21:55:09
0
deo.hema
Deo Hema :
Leo naona kama madam wa UTT amekamatika
2026-10-22 21:30:29
1
1mukhi1
️ :
Madam leo umewanyoosha wajuaji hao😃😃😃ni madini tu
2026-10-23 16:49:42
1
stanboy_de_breezy
STAN B :
huyu mama walimshikiliaaaa
2026-10-23 02:24:07
0
patrick_mindfullness
patrick_mindfullness :
hii ni discussion ya wakamaria na msomi
2026-10-23 13:12:53
0
meydar_sports
Meydar Sports :
Hakuna kitu utafanya as long as ni biashara,uwekezaji,au chochote bila ku risk,we jua pesa ili irudishe faida lazima uwe ume i risk it depend ume risk kwenye uwekezaji upiii😂
2026-10-23 06:22:39
0
alpha_transporter
ALPHA_TRANSPORTER :
🔥🔥🔥
2026-10-22 19:49:09
0
To see more videos from user @bilafilta, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About