Na mtoto yoyote anaejihisi kuna mtu amtishia, awe free kuja kwako kukueleza km Hana mtu anaemuamini to talk to.
2026-10-23 05:13:44
46
Dr nadiim, :
hayo ndio maneno ya thamani kwa Sasa wlh na pia umeongea mawaidha muhimu sana kwa vijana Allah Akulipe inshaallah
2026-10-23 05:19:41
32
HOTthanchilly :
well said we need youth meeting points kama youth clubs where they can get such adivises support accros kenya good job we can all do are parts aswell instead of being silent
2026-10-23 06:22:21
8
jamaalbahati :
Kazi safi coaches hii swala ni Noma sana inahusu kweli
2026-10-23 03:47:55
36
lemonchick :
Mimi ni mkristu lakini kile ninacho omba ni mwenyezi Mungu akuhifadhi coach Omy. coach umefanya Jambo Bora zaidi kuwafunza hawa watoto wetu maadili maana dunia imeshaharibika. ata changamoto hizi ziko kila mahali na kuna watoto innocent maskini hawaelewi. Mungu akubariki Sana.
2026-10-23 12:29:04
24
sweetylove :
very true
2026-10-23 20:14:11
1
Precious :
Allah akulipe ujira ulio bora...
2026-10-23 05:11:48
5
mtumaini cha ndugu hufa maskin :
Allah akuhifadhi Koch, wape mawaidha vijana, ulimwengu Leo umeharibika, Allah atuhifadhie vizazi vyetu
2026-10-23 06:20:33
8
Fatuma Hassan :
Na Mwenyezi Mungu awa nusuru watoto wetu wote 🤲🤲🤲
2026-10-23 15:38:58
6
Riziki Taisir :
may Allah protect our kids
2026-10-23 11:04:10
5
Wardatu Zahraa :
mashaallah Mashaallah mungu akujazi khery. kwa kufundisha umma .mungu atustiri sisi na kizazi chetu sote umati Muhammad
2026-10-23 05:19:59
5
🌴Bobby🌴 :
kweli kbsa coach omy Allah akuzidishe muhimu sana kuwaeleza wadogo zetu wakuinukia waelewa 💯
2026-10-22 20:08:26
13
BS :
mashallah mawaidha mzrii sana
2026-10-23 01:29:03
6
Mami point :
Allah atunusuru na vizazi vetu Allahuma amiin
2026-10-23 08:12:18
5
Sahila Hassan :
Well said, Allah awahifadhi watoto wetu🤲🏽
2026-10-23 02:57:20
7
Swalha247 :
Congrats kwa kuwafundisha pengine wengine maskini hawajaelewa kama ni makosa
2026-10-24 15:13:16
2
Agha money :
coach omary safi sana ishaallah mungu atajalia kheri
2026-10-24 11:06:52
1
ASUMAN :
May Allah Guide Us All
2026-10-24 11:31:37
2
To see more videos from user @coach_omy, please go to the Tikwm
homepage.