@tancrop1: Kilimo cha umwagiliaji #kilimobiashara #irrigationsystem #agriculture #creatorsearchinsights #fyp

tancrop1
tancrop1
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 19:28:34 GMT
21362
739
43
69

Music

Download

Comments

gajie57
gajie57 :
Upo mkoa gani
2026-10-23 10:44:49
1
farmwithkrep
Farm with k-rep :
kwani kisima kina maji mengi aje?
2026-10-23 16:41:48
0
dungamawe3212
dungamawe :
kusoma ni maji ya chumvi.halafu kisima kina urefu gani
2026-10-23 14:13:46
1
prisca_wakutumwa
PLiSo stylish🧵🪡and Cake 🎂 :
Mtaalamu wa hizi kazi😁😁😁
2026-10-22 20:56:20
1
crown.g89
crown G :
kwani Hilo ni generator gani linatumia gass
2026-10-23 18:19:55
0
bushman4778
bushman :
Vizuri bwana Shamba, wewe mfipa kwa lafudhi.
2026-10-23 16:44:17
0
sayenay21
Sayenay21 :
Generator zote sina system ya gas?!
2026-10-25 04:50:05
0
aboulugenzi
Azfer :
Nahitaji majembe ya aina hiyo kaka napataje
2026-10-25 05:14:32
0
chief001abdul
🦂 :
hio generator na gas yake hela ngapi?
2026-10-27 06:43:56
0
mama.hisaumu.mbey
Mama Hi 👋 :
gas niyakazigani jamani 😁sielewi
2026-11-25 16:15:56
0
kitambimadalali
Kitambi Madalali :
furrow system🙏🙏🖐️🖐️
2026-11-02 08:38:05
0
musachitanda
MP FASION :
WATAALAMU FIRE MNASEMAJE JENERETA KUWASHWA KARIBU NA MTUNGI WA GESI!?
2026-10-25 17:07:40
0
safaribatholomeo
safaribatholomeo :
san
2026-10-26 20:26:01
0
dungamawe3212
dungamawe :
kilimo Cha maji ambayo yanafaa Kwa kilimo inabidi yawe na kipimo gani maalilumu
2026-10-24 13:31:57
0
masebo.real.estat
Masebo Real Estate :
🌿 MASEBO REAL ESTATE 🏡 Tunajihusisha na uuzaji wa mashamba kwa matumizi ya kilimo na ufugaji. 📍 Mahali: Pwani, Kisarawe 🌱 Karibu ujipatie mashamba. 📞 Call. 0785068863
2026-10-23 16:11:17
1
o_s_a_k_a_
O_s_a_k_a_ :
Hii siyo gharama nafuu; ni gharama kubwa. Mtungi wa gesi badala ya solar ; na hayo maji chanzo ni wapi
2026-10-27 06:30:40
1
ladyjay108
Lady Jay 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-10-24 12:50:00
0
To see more videos from user @tancrop1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About