yote mabaya ila maj ya mvua ndo mazur tena Yale yanayotoka kwa mungu moja kwa moja
2026-10-23 15:05:20
2
Innocent Vincent :
sasa me nazitaka izo microprastic ili niwe microorganisms
2026-10-23 15:55:03
1
mwande_57 :
bas tutakua tunakunywa maji ya drip zile za hsptl
2026-10-23 06:13:09
23
Brooklyn :
dokta unatupa elimu sana tunashukuru
2026-10-22 20:47:47
23
sehelo jr :
video ijayo ongelea upatikanaji wa pesa maana hata pesa hatuna pia
2026-10-22 21:07:12
33
barakamotto :
swali langu ni hili ,hayo maji ya kopo wanachukua maji bomba wanaweka dawa au wanachanganya chemical kuform maji?
2026-10-25 07:14:15
0
Elizabeth :
Bora ya Bomba waliozaliwa Kilimanjaro marangu rombo mshiri tujuane maji bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
2026-10-23 09:05:31
7
immapaul outfit & IP_store :
maji ya bomba yanapita kwny plastic pipe
2026-10-23 08:29:36
3
Madigison :
natural is beuty
2026-10-23 05:12:46
10
Mic_mkoyi@ :
Sema kila kitu tukikichunguza kwenye maisha yatu duh..hakuna kitu salama ni mungu tu Anatulinda 🥺
2026-10-22 22:29:39
10
Queen cosmetics :
madocta wa mitandaoni mnatuchosha sana
2026-10-23 02:39:12
6
🦋fantacy🍒 :
shida watu hatupendi kuambiwa ukweli hata Mimi 😂😂😂 kwaiy yote kwa yote tutakufa tuuu siku
2026-10-23 06:31:52
5
SAID AUSI :
Sikuhizi bhana hakuna chenye afadhali ukinywa maji ya bomba unaambiwa upo kwenye hatri ya kupata taifod uchemshe au usichemshe lazima kitakuramba tu, haya basi tuwe tunakunywa haya yakina mo na azam pia maradh yanakufata huko huko.... yaan hii kama mtu aliye vuliwa nguo ukiinama mambo hadharan ukiinuka mambo hadharan sijui tuchague lipi ama tuache lipi....
2026-10-23 22:03:36
1
Irene💝 :
Mimi nikinywa maji ya momba heeeeh tumbo nitaniuma ushangae🥺
2026-10-23 06:48:45
1
priscusmush :
samahani jaman nina swali yale maji wanayo tundikiwa drip hospital ni yabomba au yawapi jamani msaaada uku
2026-10-23 08:33:05
1
Mohd machage :
mawazo yangu hapo doctor ni hv tununue mandoo ya chuma hili tuifadhi maji uku majumbani
2026-10-23 07:20:57
0
Digital service provider :
me nakusikiliza huku nayashushia hapa
2026-10-24 08:16:35
2
@Ven.tz :
Elezea na namna ya kutunza maji ya Bomba maana ukimaliza kuchemsha unaweka kwenye ndio ya plastic hii imekaaje
2026-10-23 17:57:20
2
Chammy Frank :
kama ndo hivyo, vipi kuhusu drip za maji tiba za hospitali si ndo shida haswaaa
2026-10-23 17:20:33
2
_.iam-addy :
maji ya kisima je
2026-10-23 20:39:48
1
AMANI• #PC#√*$€G :
Ndio mana bib zetu walitumia mtungi
2026-10-23 20:35:27
1
Mama_Tavish :
Jmn asa inabid pia maji tusiweke kwenye ndoo maan nayo ni plastic
2026-10-23 23:27:36
1
user7866100437412 :
Hana kitu salama basi hata hewa tunayovuta tutaambiwa kuna microorganism,hata sufuria tunazopikia tutaambiwa microiron/microaluminium,utaambiwa hata miili yetu siyo salama ina microbacteria nk.
2026-10-24 05:46:35
1
Lukas Masabuda :
munatuchanganya tu
2026-10-23 18:41:04
1
Rahma Rajab :
Mmmh naanza kuchota yakisima naweka kwenye mtungi
2026-10-23 17:45:33
1
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.