yani hiyo ofc ina hela ndefusana! ukitaka kuanza biashara wewe Anzia ulipo ukiangalia mwenzio kaanza nakiasigani hutakaa ufanye biashara
2026-10-23 13:25:19
21
Prof. Warren🏆 :
safi sana Hilo ndo jibu kamili .. kama unataka kuanza biashara usianze Kwa competition please huyu anataka kufanan na huyu yaan Kwa mwanzo wake anataka duka lake lionekane kama hili LAKINI hajui kama unaweza fanana na huyu na ukawa na mauzo ya hasara coz huna mfumo wala watej
2026-10-23 08:29:59
11
Mr.makava Mafinga :
sa watu mnapanick ofisi sio Mali tu! ni kuanzia kulipa Kodi ya frem, decoration, TRA mwisho mzigo ko mtu hapo anakupa vyote jumla watu mnapanick 🤣🤣🤣🥱🙌
2026-10-23 00:52:30
4
tifah tz :
apa ndo mnapo kosea watu ambao mnataka kuanza biashara usiulize mtu ameanza na bei gani wewe kama umependa angalia jinzi ya kuanza ila usikae kuuliza mtu ameanza na bei gani msilaumu uyu dada mimi nimemuelewa sana
2026-10-23 05:58:53
11
Tee1487 :
mimi tuh nimsaidie kujibu muulizaji kwamba
"hakuna mtaji maalumu unao panga kwaajili ya kuanzisha biashara yenye uko na ndoto nayo cha msingi ni kile kiasi ulichokua nacho ndicho kinaweza kukufikisha katika malengo yako ikiwa tu utakua na nidhamu ya pesa pamoja na kujali unao wahudumia na muda ndio kila kitu".
Hivyo basi ulichonacho leo ndio majibu ya kesho yako
2026-10-23 20:01:11
1
athnaty dev :
milion 7 Leo imekuwa milion 230
2026-10-23 13:34:37
1
ulukuwaimjukuu :
Hata mil 50 haipo hapo
2026-10-23 14:49:57
1
Junior Gwasma :
najaribu kusoma hiyo mia mbili na million
2026-10-23 06:23:04
1
shaatibu the boss🥰 :
😁😁😁😁mimi nachoamini pesa yoyote inanzaa biashara uthubut t
2026-11-04 14:19:07
0
miss dion :
bora hata ww my mimi nilianza na milion mia tatu hamsini
2026-10-24 08:23:26
0
boy :
milion miambil inawezekana kutokana na sehem ila Kuna location zingine haifiki
2026-11-03 05:28:45
0
Mimi apa :
Ee mungu na mimi pia siku ifike nilipambe duka langu kama ivi
2026-10-23 20:15:21
1
Gwerino Nyomolero :
jamani dad's muwage wa kweli hapo ni unawexa kuanza hata m 10 na biashara ikaendelea
2026-10-24 11:15:59
0
Agnetha Alex :
Kwan hata M100 iko wap hapo?
2026-10-23 14:25:46
0
bbm :
uyu dada yuko sawa duka huwa lina store sio unavyo viona tu apo
2026-10-23 19:54:26
0
𝗕𝗹𝘂𝗲𝗙𝘅💙 :
namm ndio nilimpa izo thelathini yeye alikuwa na 200M
2026-10-23 20:43:01
0
De nice02 :
nmekupndaaa bureee😇🥰🥰
2026-10-23 11:10:55
0
Ms kawishe :
@Ms kawishe: sidhani kama ni swali sahihi kwa mtu anaetaka kuanza biashara ninacho amini anza na ulichonacho maana nenda kwenye masoko ya jumla uliza bei jitathimini hela uliyo nayo inaweza nunua vitu vipi na kwa kiasi gani sio mnauliza unauliza ulianza na kiasi gani ukiambiwa milioni mia mbili unaanza kupaniki 😂😂😂
2026-10-23 11:55:29
0
Tumainisia Shao :
ukwel humueka mtu huru
2026-10-23 09:37:36
1
joashofficial🌴 :
hili duka la million 200.
2026-10-23 07:23:48
1
annarahtubbies :
Mbn makasiriko tena 😂😂
2026-10-23 10:02:37
1
Dr Sungi :
😂😂😂😂dah 🙌
2026-10-23 09:49:21
1
celine❤️ :
😂
2026-10-23 10:07:22
1
Serhaworld🦋 :
🤣🤣🤣🤣🤣Nawewe Umeanza
2026-10-23 06:38:45
2
To see more videos from user @lalagrain_co, please go to the Tikwm
homepage.