wapigaji tu hao.. kwahyo bajet ya billion 730 kwa ajili ya kujiandaa na el nino. kwahyo sisi tunakua ni watu wa kuwekewa bajeti na kujiandaa na majanga na sio kuimarisha vitu hata kabla ya hayo majanga kutokea. yan wakiona majanga wanajifanya kuweka bajet kumbe ni mifumo tu ili wale hizo hela..
2026-10-24 08:22:06
3
Chudyson.com💪 :
huyu ndo nimemuelewa sasa kumb Tanzania El Nino yetu ni ya joto😄
2026-10-23 07:20:09
5
Mongi furniture house :
kwahyo Ile bajeti ya madaraja?
2026-10-23 19:14:38
0
Jayden_boe💔💔 :
EL NINO ni kama ongezeko la joto duniani ko moja ya matokeo ya ongezeko ilo la joto upelekea sana sana ongezeko la mvua ivo el nino imeanza
2026-10-23 19:20:27
2
Massive James :
Tanzania ni nchi inayofanya siasa katika kila sekta na ndio maana kila jambo lazima aitwe mtu wa kuleta vihoja ili kuwazubaisha watu
2026-10-23 07:18:22
1
🌟kisombo💫✅✅ :
kwa mfano nchi zingne ...sawa je Tanzania elnino ni nn
2026-10-24 11:49:23
1
engineer :
Nyerere njoo uone uhuru wako uku
2026-10-23 20:52:54
1
MOSHI MAMBO :
na gundua nli poteza muda kukaa shule....daah tuna kaz kweli kweli kwa ujinga huu tunao pewa
2026-10-24 12:09:29
1
To see more videos from user @allymohamedi623, please go to the Tikwm
homepage.