@wazili.sinapesa4:

🥷Wazili sinapesa 💰 🥷💔☠️
🥷Wazili sinapesa 💰 🥷💔☠️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 21:03:20 GMT
20342
1966
34
14

Music

Download

Comments

allykilangai6
Ally :
Tupo weng kakaa kilicho niuma na kuniumiza nimeachwa na mwanamkee ambae nilimpenda kuliko nilivyo jipenda wenyewe
2026-10-23 08:12:48
4
mvogorismith
mvógörïsmîth :
Familia yanguh kabisaaa💪💪💪🤣
2026-10-23 05:18:27
2
giftnamwandu
gift :
ata mm yamenikuta
2026-10-23 10:49:49
0
kaizi.jackson.kai
KJG✨️✨️ :
pole sana mshikaji wangu tupo wengi tuloachik
2026-10-23 06:41:17
1
anglekimali
🦋ANGEL 🦋 :
Pole niswala la mdaa t2
2026-10-23 10:49:26
0
florida.chimamy
Florida chimamy :
😂😂 najikuta nacheka
2026-10-23 10:42:05
0
user541581183733
mrs j ✨🦋 :
hapo kuna mambo haya [Victory]
2026-10-22 21:27:17
3
dimpoz8
Dimpoz :
kumbe pia wewe hii ngoma umekunasa kama mimi....aisee hapa ibrah aliimba kiukweli...
2026-10-23 05:23:57
2
tz_lameck
LAMECK_Tz :
we ni familia kbs
2026-10-23 06:25:16
1
samtzjfor
TRANQUILITY🍁 :
apo kuna mambo haya ✌️
2026-10-23 05:08:29
2
ajey604
ÄJÊY~KIDD🤍✨ :
bro hivi unaishi uko tz sehem gani
2026-10-22 21:07:34
2
mariam.lukas2
cute mamu :
Wazili umeachwa nanani sawa
2026-10-22 21:12:18
4
malobhe0
MALOBHE :
kaka hii nyimbo itakuuwa maana kila hatuwa unayo
2026-10-22 22:22:28
4
tonny00157
Tonny001 :
Amin kaka
2026-10-23 10:37:39
0
bunda.finest
bunda finest🔥 official :
hahahaaaa
2026-10-23 10:08:17
0
emmanueionesmo
DOUBLE B :
Kaka usikonde vipengere duniani avikwepeki ata yesu mwenyewe walimkana sembuse sisi
2026-10-23 10:03:50
0
user7652816872872
Modricky wizzy :
Umeongea kitu chamaana sana mkali mitano tena na tena 🤓🤓🤓
2026-10-23 10:24:47
0
user3297487080070
frola :
tulio achwa wote mje hapa
2026-10-23 04:45:54
0
dmomo09
DEE💫 :
sahihi
2026-10-23 08:41:22
0
user96209227249047
mnarahtz :
Mapenzi Gharama Mzee Wangu, Alafu shida Moyo Umeumbwa Kwa Nyama Ndo Yanatuchanganyaa😭😭
2026-10-23 10:14:48
0
sahani.tz
Sahani Tz🚘⌚️ :
Nikweli ni swala la muda tu
2026-10-23 10:01:09
0
user9621493430580
Joemzamburing'o :
Live mkali
2026-10-23 09:23:25
0
ratifahamis443
Tiffany🌹_Muruswadi :
Huyu akiniacha itabidi aache na wosia kabisa akili yangu naijua mwenyew
2026-10-23 09:28:44
0
dcareluck
kollar lyrics :
😂😂sahihi kaka
2026-10-23 09:26:12
0
msomal.jr18
msomal jr18 :
nakubal kaka
2026-10-23 07:20:31
0
To see more videos from user @wazili.sinapesa4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About