@herrynelson1989: Usione leo tupo hapa ukadhani ndipo mwisho wetu. Kila safari ina hatua zake, kila hatua ina fundisho lake, na kila majira yana wakati wake. Usimdharau mtu kwa sababu ya mahali alipo leo, maana hujui Mungu anampeleka wapi kesho. Mwanzo wetu si mwisho wetu, na tulipo leo si kipimo cha tutakapokuwa kesho. Man of God Herry Nelson #efathazanzibar #wanyongewapenguvu #efathatvdigitalupdates #efathatv

Official Herry Nelson
Official Herry Nelson
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 21:04:54 GMT
3225
441
25
36

Music

Download

Comments

upendolouis
upendolouis :
❤️❤️❤️much love to Efatha. Meaning of waiting on God 💋💋💋
2026-10-23 05:56:33
0
agnesshangi
Agness Hangi :
nimeikuta machozi yamenitoka , Efatha imetoka mbali , sioni pakwenda zaidi ya Efatha,🔥🔥
2026-10-23 06:30:08
1
patrioticafrican
Ndumbula Nyelu :
huyu ndiye EFATHA WANGU
2026-10-23 05:14:06
1
sabby7719
sabby :
Efatha huduma ya kweli ya Mungu🔥
2026-10-23 01:18:38
2
zenabillabong
From Tz🇹🇿 to Dk🇩🇰 :
Amen Baba🙏
2026-10-23 03:43:19
1
six.pesa
SIX PESA :
Acha Mungu Aitwe Mungu mwenye Nguvu
2026-10-22 21:16:25
1
dani.joseph95
jor dani...2005 :
na mim sitokata tamaa kutafuta .. kama baba alikuwa ivi haleluya....
2026-10-22 21:16:41
1
god0000top
eve :
Namuona Baba Kikoti. Enzi izo.. EFATHA Oyeee
2026-10-23 06:18:30
0
cute_sinde
Fannier :
Yule aliyekaa mbele sio baba kikoti kweli
2026-10-23 05:50:18
0
detha631
Detha :
kwahiyo hao watoto hapo mbele ndio kina pst Anna, pst Mercy na kina Esther au?🥰
2026-10-22 22:13:24
1
user8129235307183
user8129235307183 :
Baba angu [Fire][Fire][Fire][Fire]
2026-10-23 05:37:36
0
janeth7410
Janeth :
asnte baba wewe nisababi ya mimi kuishi ubarikiwe sana sina wa kukufananisha
2026-10-23 05:27:54
0
gloria_pendo
mama p msusi :
jaman baba yetuu 🥰🥰🥰
2026-10-23 04:58:19
0
abigael.seleman
Abbie💕 :
baba alikua mbele ya muda sana dah🥰
2026-10-23 05:33:34
0
magda95117
MK :
Na alikua anaenjoy . sauti ni ile ile na misemo yake 🙏🙏
2026-10-23 04:57:48
0
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
natamani kulia baba yetu ametoka mbali sana daaa???
2026-10-23 05:00:50
0
user1617934018730
mojo :
ahsante mtu mimi nilikuwa nimeokoka ila nikaludi nyuma kwa vidio hiii umenitia moyo sana jumapili naenda kanisani I love you EFATHA
2026-10-22 21:12:06
0
patrioticafrican
Ndumbula Nyelu :
waaaahooooo baba yangu mimi
2026-10-23 05:14:42
0
beatricekawaganis
BeatriceKawaganise :
Aaaaaaaaaa hakika baba mungu akubariki sana, Nakupenda sana baba Efatha umeitowa mbali sana 🙏
2026-10-23 06:37:20
0
barakaelias402
MWINJILISTI BARAKA 🇹🇿🇹🇿 :
KWELI NIMEAMINI BABA YETU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIASI MWINGIRA MUNGU ALIMWITA. mwaka huo hata shule bado sijaanza kwenda. Libarikiwe sana tumbo lililomzaa mtumishi huyu.
2026-10-22 21:12:26
0
kabula.kanigi
Kabula Kanigi :
Mungu ni mwaminifu sana
2026-10-23 03:35:40
0
rosemarygeorge11
rosemarygeorge11 :
hakika mungu anatoa watu mbali jaman
2026-10-23 02:43:30
0
hysonkabimbi
Kabimbi :
maktaba
2026-10-23 02:26:13
0
mbebamaon
BABA GEE😇 :
EFATHA❤️❤️❤️🫡
2026-10-22 21:09:16
2
user8523392352140
cecilia :
❤️❤️❤️❤️
2026-10-23 06:34:23
0
To see more videos from user @herrynelson1989, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About