😂Watu hawaelewi aisee nakumbuka nilikuwa na tabia ya kwenda uwani usiku 🤣,mama kashachoka kuwa ananisindikiza akawa anasema ukimaliza kujisafisha jaribishia kama unapafinya upaambie hivi😂(mnaloshindo oye goyobhunwa bhojiko🤣) wasukuma wataelewa hii
2026-10-23 13:55:09
91
💕Mary da cute💕 :
Mbona imenijia leo too late
2026-11-25 08:36:07
0
Mwani 003 :
Nikikumbuka baada ya somo kuniingia nikajaribia kwa Mume wa mtu jmn najuta haachiki wkt mim nilikua kwenye Majaribio tu Aaah Rahma kwenye hili uliweza😀😀😒
2026-10-23 08:08:31
38
Kwangu Mashamba :
😂😂😂😂😂nimechek daaah nikiwa na miaka 15 nalelewa na mama wa kambo bas ilikua kila sik usik lazma nitoke nje kukojoa mama akaniambia ukitoka leo ambia hiyo k ikome kukojoa usik ni kwel nilifanya na nikawa sitok tena😁 imenikumbusha
2026-10-23 10:52:46
46
Ummy_biriani_point🍛🧋 :
Wale mnaotamani kurusha maji ni jambo lakusema nao tu😂😂😂mie now tunaanika magodoro….haya nipeni oda za biriani
2026-10-29 13:06:06
16
Babe_Eyes :
Nilidhani najua kila kitu kumbe bado sana 😂
2026-10-23 16:09:18
37
Holiness :
dada naomba dawa mm nawashwa sana
2026-10-22 23:17:46
4
BAHATI_COLLECTION ARUSHA :
nimejifunza jambo leo
2026-10-23 19:40:19
8
ONLY ME IRFA :
naomba mnirudishe hapa malambili mbili pls
2026-10-28 11:33:06
14
rinagift :
naomba namna ya kuongea na moyo jaman mi nishachoka hauskii sasa sijui nakosea wapi