Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
2026-10-23 10:52:41
72
ISSAFURSA MCHANGANYO :
unamuita mama ni kosa
2026-10-23 05:20:19
53
Amiry Chegamila :
nimeangalia huku kwenye pay low sijaona hata jina lake kama alikuwa mtumishi
2026-10-23 01:07:01
44
magreth :
kwanza una makosa ya kuchekesha serekali na kutongoza serekali chagua tukufanyaje 🤣🤣
2026-10-23 02:21:21
69
Oscar Jr :
oooh!!
2026-10-27 07:50:53
2
Aly-Nasry eny777 :
umeshindwa kutudanganya kua ungemwacha kazini angechekeshwa tena
2026-10-23 00:02:42
47
Walelo Kassim :
uongo askari awezi kuacha kazi kwa sbb ya mwanaume
2026-10-23 20:19:09
13
Chenja_Chamilions :
Kama mwanaume, ukiitazama vizuri historia ya maisha yako ya mapenzi, utagundua kuwa wanawake waliokupenda zaidi ni wale ambao wewe mwenyewe hukuwa na hisia nao sana. 😂😂
2026-10-23 06:56:26
24
@Grandrichman ✍️🧠🌞📌 :
na me nikikua nitakuwa kama ww🤣🤣🤣😂
2026-10-23 22:55:40
5
Baby Ngolo😜 :
Nahamia Kenya mimi 😁😁😁
2026-10-28 12:29:14
1
Ibnu_Rushd :
what
2026-10-27 06:38:42
2
Complex_Jackal :
Sio kweli bhana ulimuachisha kazi coz uliogopa asije kumsamehe kosa jamaa mwingine[Laughing]…. But above all ana upendo , mwanamke akikupenda anasikiliza kila kitu..HONGERA BROO
2026-10-23 07:26:50
9
jacksonmashindeki :
kipindi hicho kulikua na cm jaman
2026-10-23 03:35:19
10
minmimah59 :
huyo nae anajiweza, yani niache kazi Kwa sababu ya mwanaume [Tears of joy][Tears of joy]hapana kwakweli, hapanaaaaaa
2026-10-23 10:45:11
5
Miss merry :
Siwez acha kazi kisa mzee mimi
2026-10-25 04:56:26
6
Aimoh7️⃣ :
Mshahara umenikuta nakula Ugali Dagaa Wazee,, Sijawai taPika hivi hadi niimezima 😁😁😁
2026-10-24 07:14:36
5
Walelo Kassim :
uongo 2
2026-10-29 17:21:23
1
. :
uyu nishakutana nae Aya mm
2026-10-27 00:28:36
3
Marie :
😅
2026-10-24 20:14:05
1
rama :
2026-10-24 17:23:27
1
kassimatieno :
hacheki
2026-10-26 10:08:14
1
jamila jamili :
mpk mmefanana 😁 kwa kupendana
2026-10-23 17:38:41
2
Alhaj Qassim :
😁
2026-10-23 23:40:27
2
To see more videos from user @mig23flickstv, please go to the Tikwm
homepage.