@discoverafrica_tv: Taja namba ya mkoa wako kulingana na ukubwa wake​#DiscoverAfricaTV #Tanzania #TanzaniaTok #Jiografia #FYP

@DiscoverAfrica.TV
@DiscoverAfrica.TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 22:01:27 GMT
55703
1037
67
55

Music

Download

Comments

danijooh96
am poncho :
nashangaa manyara kuizid mbeya
2026-10-26 20:27:26
1
mbaya4935
Mbaya :
tuna mikoa 32
2026-10-25 19:47:38
1
shabaniamrani127
Shabani Amrani :
Singida kuwa ya 5 af Mbeya ya 10 tumepigwa hii
2026-10-25 07:22:38
2
user2680456770658
Gift Etlawe15 :
acha uongo manyara ni ndogo sanaa et inaiizdi arusha
2026-10-23 06:11:05
2
ali.iddi41
ali iddi :
morogor na ruvuma upi mkubwa
2026-10-26 14:02:39
1
anordmutafuta
Anord Mutafuta :
hapana Yan mwanza izidiwe na singida?
2026-10-23 11:04:02
2
kasongo.mkiwa5
delick mkiwa iringa :
iringa
2026-10-28 04:12:59
2
joharsuleiman597
Cpfi :
Tabora moja tyuu
2026-10-23 10:45:16
4
joshuarobery
joshuarobery :
geita sio mkoa
2026-10-24 10:06:45
1
benson.john24
Benson john :
namba tatu sssioono
2026-10-27 19:03:17
1
nazo.ability
nazo ability :
jamani apo wameangalia ukubwa wa eneo sio makazi maan katika mikoa midogo Kwa makazi lindi ipo kwnye tano Bora alafu kwnye mikoa yenye ukubwa wa eneo lindi ipo pia kwnye tano Bora
2026-10-27 03:45:19
1
official.rayshaz
Official rayshaz :
Namba 4 tujuane
2026-10-27 11:00:57
1
user9937107613181
kennytz18 :
njombe
2026-10-24 12:11:34
3
chidy1412
RASHIDY official :
1
2026-10-23 19:11:48
1
rashidrajab408
ch33d :
7tujuane
2026-10-23 10:39:58
3
user10413656874391
Gidy Titus :
arusha
2026-10-25 07:49:12
1
robertmpwapwa
Robert Breezy :
Namba 3
2026-10-23 22:50:34
1
mbaya4935
Mbaya :
umesahau Geita tu hapo
2026-10-25 19:47:26
1
mussaorguyai
mussa orguyai :
ivi mnaju arusha kweli nyie
2026-10-26 09:47:09
1
user6635067168188
suzy :
tabota mabegani 🥰🥰
2026-10-23 09:40:02
3
mdimiadam
mdimiadam :
SiNgiDa
2026-10-23 09:21:57
2
jacksondioniz217
NYEGINA 100% :
si kweli rukwa iwe kubwa kuliko mara yenye wilaya 7 kati 4
2026-10-23 20:08:41
1
mariam.kamagishom
Mariam KamagiShoma's Family :
Tabora🥰
2026-10-23 06:45:01
3
bkb20k710948516
Bkb20k :
ringa ina ukubwa gan saa😂
2026-10-25 12:40:56
1
esther.g.esther.g
🌹Esther 🥰🌹 :
umetupiga tanga haiwezi kuwa kubwa kwa mwanza
2026-10-26 07:12:16
1
To see more videos from user @discoverafrica_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About