@faustinehealthtips: “Hii hali ya maumivu ya tumbo upande wa kushoto ilinitesa zaidi ya miaka 2… kumbe nilikuwa nateseka bila kujua tu.” Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa nikihisi maumivu upande wa kushoto wa tumbo ambayo yalikuwa yakija na kuondoka. Wakati mwingine yalikuwa makali zaidi, hasa baada ya kula au tumbo linapokuwa limejaa gesi. Nilizoea hali hii kiasi kwamba nilifikiri labda ni kitu cha kawaida. Nilijaribu njia mbalimbali za kujisaidia, lakini maumivu yalikuwa yakirudi tena na tena. Kilichonifanya nitafute msaada zaidi ni kugundua kwamba nilikuwa nashughulika na maumivu tu bila kuelewa kinachoweza kuwa nyuma yake. Baada ya kupata ushauri na mwongozo kutoka Faustine HealthTips nilianza kuelewa zaidi kuhusu dalili zangu, mambo yaliyokuwa yanaweza kuchochea usumbufu wa tumbo, pamoja na umuhimu wa kuangalia chanzo na kupata uchunguzi sahihi pale inapohitajika. kitu ambacho niligundua ilikuwa ni pamoja na changamoto za uzazi, Cha muhimu nilichojifunza ni hiki: maumivu ya tumbo yanayojirudia kwa muda mrefu hayapaswi kupuuzwa. 👉 Je, wewe pia umewahi kupata maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa muda mrefu? Andika “TUMBO” kwenye comment ili upate mwongozo wa hatua za kuanza kuchukua. #AfyaCareKwanza #MaumivuYaTumbo #Arusha #Oman #GesiTumboni

FaustineHealthTip+255758608445
FaustineHealthTip+255758608445
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 04:07:23 GMT
434
6
2
1

Music

Download

Comments

user8615870390995
Madam Veka, :
tumbo
2026-10-23 19:35:43
0
brigho94
Shiko :
tumbo
2026-10-26 14:16:27
0
To see more videos from user @faustinehealthtips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About