@ibunjumuatv: HII SIO TALAKA HATAKAMA UTAMPATIA MKEO Sheikh Twaha Bane 𝕋𝕒𝕗𝕒𝕕𝕙𝕒𝕝𝕚 *𝕤𝕦𝕓𝕔𝕣𝕚𝕓𝕖* 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕟𝕖𝕝 Yetu Kwa Faida Mbali Mbali •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈• ❁ 【 *IBUN JUMUA TV* 】 ❁ |||||||| *IBUN JUMUATV*|||||||||| 𝐔𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐍𝐚𝐬𝐢 𝐊𝐰𝐚 𝐕𝐢𝐬𝐨𝐦𝐨 𝐕𝐲𝐚 𝐐𝐮𝐫𝐚𝐧 𝐊𝐡𝐮𝐭𝐛𝐚 𝐙𝐚 𝐈𝐣𝐮𝐦𝐚𝐚 𝐌𝐢𝐡𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐅𝐚𝐰𝐚𝐢𝐝 𝐌𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐌𝐛𝐚𝐥𝐢 *𝐓𝐨𝐤𝐨𝐦𝐞𝐳𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐢𝐚 𝐧.𝐤* 𝐘𝐨𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 https://youtube.com/@ibunjumuatv9502?si=-WvjZc95aNqdLMZH 𝐭𝐢𝐤𝐭𝐨𝐤 tiktok.com/@ibunjumuatv ```FACEBOOK ``` https://youtube.com/@ibunjumuatv9502?si=-WvjZc95aNqdLMZH 🌹 *انشر بارك الله فيك فمـن أحـب ألا يَنْقَطع عمله بْعد موتہ فَليَنْشُر العلم*

IBUN JUMUA TV
IBUN JUMUA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 04:12:05 GMT
12363
331
59
57

Music

Download

Comments

el.mariachi44
el mariachi :
wengine husema hata ukisema kimzaha wambiwa ushamuacha mkeo.
2026-10-23 05:30:27
4
kibrahimramadhani
Kibrahimramadhanikomba :
Kumbuka anae zungumza ni Sheikh Twaha Bane
2026-10-23 20:36:20
1
user4825449237774
user4825449237774 :
hakuna kutishana kwenye talaka kwa hili shekhe kateleza Allah amsamehe lau km atamwambia mke wake nitakuacha ukiendelea hivi au kauli nyengine ambayo haitokua ya talaka moja kwa moja sawa lkn sio mtu amemwambia mke nimekuacha kisha aseme baadae nilikua namtania tuu jambo la talaka ni jambo kubwa wapost wawe makini sana
2026-10-24 10:21:15
2
user53939014685037
muhammed :
talaka ukweli wake ni ukweli na matani yake ni ukweli
2026-10-23 06:51:07
5
abuwjuhaymah
Abuw Juhaymah :
Waislanu wezangu tuisome Dini yetu maana zama hizi wazungumzaji ni wengi sana kwenye Dini hii...Mtume swallallahu alayhi wasallam anasema ثلاثٌ جِدُهنَجدٌّ، وهَزْلُهُنَجدٌّ: النكاحُ، والطلاقُ، والرَجعةُ» Yani mambo matatu Ukweli wake ni ukweli na Utani wake ni ukweli....akataja NDOA...TALAKA NA KUREJEA kwamaana talaka inaswihi hatakama mtoaji TALAKA atakuwa katika hali ya utani....Vilevile kurejewa aliyepewa TALAKA hakuna Utani kama ilivyo katika KUOZESHA tuwe makini jameni
2026-10-23 14:59:45
1
sijapendasitaki
rumeys@ $,💞💞🥰 :
talaka isio sahihi ya mlevi
2026-10-23 08:11:15
0
user7281654361941
Ramze@ :
shekh tarakha hatishiwi ulisema unatakiwa utekeleze
2026-10-23 06:50:41
0
chima4514
chima :
Shekh kama wa3 huyu anasema iho kuwa kama hajadhamiria sio takala wengine wanasema ni talaka tuelewe wapi
2026-10-23 09:41:10
0
nomarawa
Malikizo :
Uzuri wa Uislam ukiongeza au kupunguza chochote watu wataelewa tuh. hapo Mzee wetu umetupiga..Utani au mzaha wa talaka itabaki Talaka tu hio No excuses.
2026-10-23 08:24:48
0
swabrahamid
NAWAL RAWAL :
basi tushatishiwa sana
2026-10-24 19:43:11
0
user5069506185713
user5069506185713 :
shukran
2026-10-23 05:11:26
0
salumkhamiss665
salux :
sasa iyo nia inapimwa na nan shekh
2026-10-23 12:35:04
0
fantastic4649
EXPERTS CLEANING SERVICES :
mmhh
2026-10-23 09:00:01
0
millennial.p
Leo🦁🇰🇪 :
sasa na hapa kwa "talaka haina mzaha"🤔..
2026-10-23 11:20:27
0
user9040412228775
kombo :
Mtihani shekh
2026-10-23 05:01:42
0
vivagoodboy4
#Digi_digi_master🔥🔥🔥 :
sheikh ana ongea sana ila hana hoja yenye mantik
2026-10-23 08:33:31
0
kidogo10
kidogo10 :
Talaka maskhara ni ukweli na ukweli ni ukweli
2026-10-23 07:41:17
0
mohamadishabani7
allbarjas, البرجس :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 00:58:02
0
To see more videos from user @ibunjumuatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About