@macho_media_onlinetv: #MachoMediaOnlineTv #MachoKuona #TikTokTanzania #TikTokKenya #MachoKuona Kaimu Amidi wa Shule mkuu ya uandishi wa habari na mawasiliano Kwa umma (SJMC) Dkt. Elisha Magolanga amesema kwamba Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefuta utaratibu wa kufanyika Kwa mitihani ya kurudia kwa maana (Supplementary) na mitihani malum kwa ijulikanayo (Special) Kwa Wanafunzi ambao watafeli somo au kutokufanya mitihani kutokana na sababu mbalimbali. Hayo ameyasema wakati Akiongea na Wanafunzi wa mwaka wa kwanza siku ya orientation (elekezi) ndani ya Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano Kwa umma Dar Es Salaam.(SJMC).

MACHO MEDIA
MACHO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 04:34:54 GMT
138595
5632
445
2659

Music

Download

Comments

prayzahtz
PRAYZAH 🇹🇿 :
Me nshamalizaaa bhna😂
2026-10-23 07:39:42
182
argentinamtati
argy❤️ :
Tuulizeni Wana SUA tuna experience [Tears of joy]
2026-10-23 06:33:30
129
noor.by.mj
✨MJ ✨ :
wasomi Hi 🙋‍♀️[Tears of joy]
2026-10-23 13:01:16
0
rock.son77
Rock son :
Tunaita hio n Carry over
2026-10-23 06:15:33
65
arafashadhly
Ms- Aرfa🦋❤️ :
Duh hii IFM Wasione tutakwisha yarabbi 😩💔
2026-10-23 07:00:25
28
ms..annie14
Ms. Annie :
Hii CBE wasiione jmni tutakwisha …. Jmni kila chuo si kifanye mambo yake kwa siri😂😂
2026-10-23 08:51:44
107
heartluxurysaoon
heart@124 :
first year be like
2026-10-23 11:42:23
0
first._born8
👑mr_handsome👑 :
carry forward 😂😂😂
2026-10-23 10:37:25
0
theyluvv_nimah
🦢 :
Sa itakuaje
2026-10-23 11:26:33
0
justagirl20007
. :
😂😂 watu wa SUA mpo wapi?
2026-10-23 07:39:45
31
mr.mp26
MP.26 :
That is copying from SUA
2026-10-23 09:14:23
8
user3048108310057
rich kizzy :
twende mbele turud nyuma au twendeni
2026-10-23 06:58:29
37
jenymuvaria
jenny🦋 :
Bora nishamalizaga haya mambo yoooo😂
2026-10-23 07:05:02
23
naymaofficial1
Nammy :
IAA wasione hii
2026-10-23 09:15:53
16
lujay40
lujay :
heeee hiii nchii kila sikuu ina mamboo ya kukwamishana
2026-10-23 06:52:42
64
a.strongest.one
Roda Crown Braids🥰💕❤️ :
hiiii noma hiii
2026-10-23 09:30:24
0
king.youth7
king 👑 youth :
MUST UNIVERSITY ,gonga likes nyingi
2026-10-23 12:45:47
1
user4556731250622malaika
Cute Vibes 💃🥰 :
maisha yana zid kuwa magumu 😂
2026-10-23 06:56:05
13
marggiegibesh
marggie♌️😘 :
Jamani hapo kwenye special mnaonea watu kuna watu wanakosa Ada ndo inawabidi wafanye special sio kwa kupenda huo ni uonevu 🥺🥺🥺
2026-10-23 09:40:56
17
sabbysam7
sabbysam7 :
Jmn na walokua wanaumwa jmn uwii🥲
2026-10-23 09:28:45
6
carrie_p0
_Arike🌸🩷🫀 :
Ficheni kabla IFM hawajaona💔
2026-10-23 08:59:50
7
user51462392080502
Queen ever :
baba wegne ada jau Haya mambo bhana mh jaman mm😥
2026-10-23 07:32:14
9
ruth.melami
Ruth Melami :
Haya sasa wa SUA njoeni huku
2026-10-23 07:00:52
7
agapekivuyo95
agapekivuyo :
chuo Bata ndyo mtaelewa hiyo
2026-10-23 08:02:24
5
cute_morio
cute_morio :
DMI NAOMBA HII WASIONE UWI 💔
2026-10-23 13:07:30
1
To see more videos from user @macho_media_onlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About