@maalim.simba2: Ukiota Ndoto[9] hizi jihangaikie na mapema 1]ukiota ndoto tunda limeng'atwa fahamu kwenye riski zako zina asadi au chuma ulete zitakuwa ni zenye kupotea 2]ukiota ndoto unaokota pesa za chenchi fahamu ndani ya riski zako zitakuwa zenye ugumu hii chanzo ni mizimu yenu 3]ukiota ndoto unapewa pete au unaokota pete fahamu wewe una majini kichwani jitafute la sivyo utaishi kwa mashaka/mitihani 4)ukiota Simba/mbwa wanakufokea au wanakufukuza njozi hii ina ishara roho za uzinifu inakuandama na mikosi 5)ukiota maiti au wagonjwa au makaburi fahamu unamikosi gundu jishuhulikie akuna kitakacho kaa vizuri kwenye maisha yako sio pesa wala mahusiano 6)kama unataka kuoa au kuolewa alafu ukaota ndoto unafanya mapenzi kinyume na maumbile na uyo mwenza wako fahamu ndoa iyo haitodumu/mutaachana au ukiota ndoto unakimbizwa na nyoka mweusi kama upo kwenye ndoa swali sana kuombea ndoa yenu mana sio muda inavunjika 7)ukiota ndoto sehemu ya kijiji chenu ulipo kulia zamani kila muda unapaota fahamu watakiwa ufanyiwe mila au tambiko iliuweze kuishi maisha mazuri yasiyo na mashaka 8)kama mjamzito ukaota ndoto mimba imetoka au imepotea sali sana wakati wa kujifungua kuna janga litakugarimu usipo iwai iyo njozi 9]ukiota unapewa chungu au kujikuta upo kwenye sherehe za kichawi usingizini jihangaikie ni dalili mbya #kenyantiktok🇰🇪 #canada_life🇨🇦 #america🇺🇸🇺🇸🦅 #tiktokviral #mombasatiktokers
haya mi leo ndo nimeota naokota ivo vichenjii kwa mala ya kwanza
2026-10-23 07:22:44
1
am ummu humayrah💦💦❤️🔥 :
ndoto za nyoka nisehem ya misha yang naota sana lkn ndoa yang imevunjika jan lkn bado nampenda sana
2026-10-23 10:02:41
3
Agustino Amos :
io namba 2
2026-10-25 19:53:24
1
Nina mungu :
mimi hio namba 7
2026-10-29 17:10:55
0
nipher cute :
mm naota nipo shule ya secondary nafany mtihani lakn majubu siyajui na pia naota nipo kijijin kwetu wakati me sipo kijijin naomb nisaidie sielew
2026-10-24 07:53:06
3
Sophia Yunus :
Na ukioto pahali ulifanya kazi nje ya nchi .Naota nime Rudi nafanya kazi huko na siko huko
2026-10-23 18:15:01
2
Why me💔 :
mimi nimeota kuna mkaka akinilisha kipande chanyama iliyokaanga ikiwa na mafuta mengi
2026-10-23 14:57:13
1
Gee💙🌸🎀🥺 :
niliwahi kuota nikiwa mdogo hyo number 2, pia number 4 🥺na 5
2026-10-23 11:33:37
1
Theopista Joseph :
mbona mim naota san nipo nyumba alfa baba yang alishakufa lakin namuota sana tatizo nini
2026-10-24 09:27:16
2
ester :
sawa
2026-10-25 18:53:41
1
arabic songs🤍🤍❤️🥀🥰 :
mm nliota nimepewa pete😳😳😳
2026-10-24 20:10:10
1
Mammygirl :
Mimi niliota na nalisha ndenge wengi
2026-10-23 20:50:07
1
Zainabkhatib :
mm naota nipo kijijini kwetu ndoto hiyo hunijia mara kwa mara na pia buwa namuota Marehemu mamayangu
2026-10-23 20:48:23
1
kassim :
nimeota nyoka saba nyoka watano niwakubwa niliwauwa na nyoka 2 niwadogo sjawauwa maana yake nn
2026-10-28 05:13:28
0
hadija mahanyu :
niliota nimepewa Pete kwenye chumba cheupee
2026-10-30 12:06:30
1
Sophia koradi :
naomba Mungu nisaidie🙏
2026-10-27 05:37:08
1
ℝ𝔸𝕀𝕐𝔼★╠♥︎ :
Niko tabia ya kusema usingizini hebu nambie hii imeka.je
2026-10-24 05:30:04
1
christinakabelege :
no 5
2026-10-23 19:50:50
1
Resham 🌹 :
kuota unazaa je?
2026-10-23 19:56:29
1
Fettymaudodo :
namba 3 na 5 zinanihusu
2026-10-28 11:19:45
1
ney✨🍏 :
1,2,3,4,5,7 naota sana
2026-10-26 15:08:47
1
batul :
Jamani mbona mimi mara nyingi huwa naota sehemu nlizo lelewa na pia naota niko skuli au chuoni saaa nyengine naota naokota pesa ila skuli au chuo ndo nyingi je ni ishara gani hiii mn sielewi
2026-10-23 21:00:37
1
Isha :
mimi namba 2
2026-10-23 17:31:07
1
@@@bindeSekky***** :
naota nipo uchi mbele za watu halafu wala hawajal kama hawanion
2026-10-23 07:43:44
1
To see more videos from user @maalim.simba2, please go to the Tikwm
homepage.