aiiii nili mind balaaa.. kukosa UDSM
Nkaja UDOM.. a
aaaah aseee THANKS GOD. [Pray][Heartwarming]
2026-10-23 10:24:48
1
Mwana :
Mhhhhhhhhhh!
2026-10-23 12:07:42
1
lyandala noah :
good news
2026-10-23 14:46:05
1
aisha12 :
mipango oyeeeee maan sisi tuna mpk resup [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 08:06:00
6
TOWN🌄 STRANGER🚫🌹 :
me yuleeee nishamaliza class2026 kazeni first year😅
2026-10-23 09:29:04
7
Clever humour @%Official :
duh hii mbaya hii aisee [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-23 09:29:29
0
Linah🌸 :
Asante😹
2026-10-23 11:11:43
0
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
Nimeshamaliza bhn 😂😂
2026-10-23 06:37:45
11
PHINA🤪🤪 :
Hii ndo chuo nililia kisa sijachaguliwa,,, Hakika Mungu anakupa unacho staili Ahsanteeee Baba Kwa kwenda chuo pendwa TIA 🙏🙏🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-23 05:26:55
72
rosie🦋💕 :
ficheni jamani IFM wasione hii
2026-10-23 08:15:52
9
Emmanuel kipanya :
first year wanatamani kurudi kutafuta chuo kingine😂😂😂😂😂
2026-10-23 06:27:33
20
prettysoul🦋 🦋 :
Ficheni mipango wasione jaman nitakwisha Mimi
2026-10-23 14:10:18
1
Treasure 🤑 💰 :
watu wa SUA hoyeee😂😂😂
2026-10-23 06:20:55
9
Ainekisher :
asante nimemalizaaaaaa.
2026-10-23 06:49:58
5
Naah Cute 🥰🥰 :
SUA ndo system yao tangu mda had tukazoea bhas 😀😀
2026-10-23 06:58:34
6
wassanir cute💜 :
Hawa wanaelewa kuna kufiwa so mfano mtu afiwe na mzaz wake asiend kumzika aje kufanya mtian ambao atakua stressed utamplekea asupp dooh apana kwakwel hii sio sawaaa bora mngekataa supp sio special watu wanapat changamoto nyie
2026-10-23 09:49:31
6
Baby :
nimechekaa uku nawalilia ndugu zangu 😂🥲 🥹😭 hili Tangazo liko na Uzito jamani 🙌 uuwiiiiii
2026-10-23 11:36:04
2
Baby :
Guys mambo yamebadilika since pre-unit wameanza kupewa hesabu za kugawanya😳
2026-10-23 11:38:31
2
𝐉𝐎𝐇𝐀𝟑𝟑♣︎ :
Sio kweli
2026-10-23 12:50:39
2
user3699328174378 :
nadhani hii itaenda vyuo vyote
2026-10-23 09:53:48
3
Lustre Gems :
kuna watu wameanza kujuta kwenda udsm
2026-10-23 11:54:52
1
Lustre Gems :
kuna watu hawasup ila ni C mwanzo mwisho
2026-10-23 11:55:29
1
To see more videos from user @frank.25106, please go to the Tikwm
homepage.