@mr.cheko63:

Mr Cheko
Mr Cheko
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 05:45:06 GMT
36021
1275
102
36

Music

Download

Comments

user7939135236629
nehemia joery :
hahaa primary hiyooo
2026-10-23 08:25:23
1
user5870061341660
fadhila khabduni :
apo nilikua naandika kweli sehem zote alafu naanza kuigilizia kwa jillani kama kaandika si kweli naweka si tu pale nyuma
2026-10-23 07:06:34
25
kimenyajeshi
kimenyajeshi :
6 class
2026-10-23 09:17:03
1
user3247863020707
lovechino :
vitu vyangu ivi
2026-10-23 07:44:46
3
delihelma
deli helma :
uyo kama mimj t
2026-10-23 07:43:21
2
asharashid6241
Asha :
nikiwa shule ya msingi mtihani wa English, true or false 😁😁 nachoka me
2026-10-23 08:37:15
3
user7978784943439
Zay♥️Careen :
duh hataree
2026-10-23 07:44:24
1
ommyjr19hakunabachel
NJEGELE JR🫅🫅 :
Hiyo ni bariadi primary
2026-10-23 07:49:52
1
george.lyimo49
0nLy oNe liTtlE G 🎧🪛 :
mm nilikua naandika kweli nyingi afuu naacha gapee la si mwalimu akiweka kosa nakuja kujaza zangu si namwambia umenikoseshaa,ilakunasiku kilinilamba kumbe teacher aliweka lama zake bhaana
2026-10-23 07:45:38
4
dorice024
mama G :
Mm nilikuwa naandika tu kweli yote ila nilikuwa naacha ki nafasi mwanzoni ili nikikosa naandika ka si kwa nyuma naenda kwa mwl namwambia amenikosesha sitaki ujinga
2026-10-23 08:29:23
3
devotha.lucas8
Devotha Lucas :
Hiyo ni somo la English aiseee ndo mtihani nilikua natamani Uwe wa mwisho mana ulikua unanifariji sana situmii akili sina mda wa kufikiria yaan ni kupishanisha tu (A)(C)(B)(D) mwalimu atajua mwenyewe amna kusoma swali ni kujibu tu Kwann nisome lugha siijui
2026-10-23 07:51:21
3
happiemadam
madam happie :
hahaa darasa la 6
2026-10-23 07:33:25
1
ellyotieno14
ellyotieno858 :
ndo maana sikuiz na beti sana kumbeeee
2026-10-23 08:41:44
1
user9469362555985
jasmini :
mhhhh wewe umejuajeeeeee apoooo shuleee nilikuwaaaa siend sachakujazaaaaa sikioni
2026-10-23 08:11:25
1
reg20126
Reg2012 :
darasa la 5
2026-10-23 07:40:19
1
user7457676909055
vanessa :
aaaah mbali sanaaa
2026-10-23 07:20:13
1
ben.rashid23
Rached :
la tatu
2026-10-23 07:26:06
1
user586842860578
paulah :
la 6
2026-10-23 07:07:36
1
tinahjohn703
T baby🍀🍀 :
kama mimi😂😂
2026-10-23 05:58:35
1
altos892
Alexender :
na hiyo kweli ndio inampa 10/10
2026-10-23 08:20:55
1
edgamarkokomba
Edga Marko komba :
tulikuwa kunamda una bahatisha zote
2026-10-23 07:57:57
0
lilianludacris
lily :
kweny mtian
2026-10-23 06:28:22
1
rachelseostin5599
rachelseostin :
🤣🤣🤣🤣nilikuwa napenda mm
2026-10-23 06:01:25
1
emeltha.vicent
Emeltha Vicent :
yalikuw mamb yangu hayoo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 05:57:23
2
anitha.nyamwiza
anitha nyamwiza :
darasa la nne
2026-10-23 07:52:43
1
To see more videos from user @mr.cheko63, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About